Recent content by DOM ONE

  1. D

    Suala la Mishahara ya wafanyakazi wa serikali: Tuzungumze mazuri na mapungufu katika suala hili nyeti, tuweke siasa pembeni

    Ndugu tumia ubongo wako kwa manufaa ya wengi na sio tumbo lako,hata huyo mzee ataondoka watakuja wengine,kukomoana sio vizuri sote ni binadamu na tupo nchi moja,yale mnayotaka mtendewe watendeeni na wengine vivyo hivyo!Wew ni mmoja ya wachache wanaofurahia marupurupu ya mzee kwa hiyo unaona...
  2. D

    Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

    Mbona wabunge huwa hamuwambii kuwa hamtawalipa posho na malipo mazuri ili hela ziende kwenye maendeleo?kwa hiyo watumishi tena wanaifanya ccm ionekane ndo mbuzi wa kafara?Oneni aibu basi na hata mfanyapo ibada kuweni na aibu nasi
  3. D

    Namuunga mkono Kigwangalla dhidi ya MO Dewji

    Ni kweli anahoja lakini kanuni zinatanabaisha wazi kuwa timu inaweza kuwa na wawekezaji zaidi ya mmoja,aende akawekeze Simba tena amzidi MO ili awe na sauti tumechoka mipasho ya wabongo! 51% zenyewe za wanachama zinachechemea bado mtu anataka 20b ziwekwe hata nikiwa ndo MO sitoi ng'oo
  4. D

    GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Ndugu yangua jpm akipita hata 2024 haifiki atakuwa keshabadili ukomo wa uraisi na ziko sheria zitaletwa za kumlinda
  5. D

    Hali ya nchi baada ya kuapishwa rais Novemba 2020

    Akishinda JPM itakuwa ni zaidi ya sasa hali ya kimaisha,kwanza atajiongezea muda wa kutawala,na sheria nyingi tu zenye kumpa mamlaka zitaingizwa na wabaya wake watashughulikiwa kwa sana
  6. D

    Ufafanuzi wa ongezeko la mishahara kwa Watumishi wa Umma kwa miaka mitano

    Huyu uongozi wake utapita na watakuja wengine!hata ongoza milele yye na genge lake kama huyu mleta hoja,waombe Mungu sana asije mtu wa visasi dhidi yao na vizazi vyao!
  7. D

    GE2020 CHADEMA mnawaangusha sana Watanzania. Hawatawasamehe kamwe!

    Inawezekana chadema hawana nia ya kuchukua mamlaka ya kuiongoza nchi ndo mana hawako siriazi kwenye mambo siriazi
  8. D

    GE2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Hili suala hata mimi nimeliona
  9. D

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Nenda k Nenda kasome kanuni namba 14(1-7) ya mwaka 2003 ya utumishi wa uma juu ya vyeo na nyongeza za watumishi kama lilivyotolewa kwe tangazo la serikali namba 168 la tarehe 20/06/2003
  10. D

    Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Hivi mwanangu umevuta cha arusha siyo,acha kudhihaki watu ndugu yangu!Haipendezi kuwapa watu matusi ya rejareja na Mungu hapendi!
  11. D

    Magufuli hao wasaidizi wako huenda wanakudanganya. Hupendwi sana na Wananchi

    Mi tangu siku ya kwanza anapitishwa kwe chana 2015,nuru ilipotea na kumwona ni katili anayejificha kwe kivuli cha wema!
  12. D

    Utumishi, Wizara ya Fedha na TAKUKURU kwanini mnaruhusu watumishi wa umma kukopea mishahara yao hadi Senti ya mwisho? Hamuoni kuwa inachangia Rushwa?

    Hivi mwanangu mbona una wivu sana na maisha ya watu!kama mtu anawajibika kibaruani kwa nini uanze kumchawia hivi,kila mtu anamipango yake ya kuishi na kufanikiwa!mbona wanasiasa wanatoa rushwa husemi?kumbuka wivu ni mzizi wa dhambi!
  13. D

    CCM they used the word "Wanyonge" to deceive ignorant

    Ni neno la kikoloni kumwita mwenzio ni mnyonge
  14. D

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Umesema umeachika mara saba sasa mbona hukukomaa ubaki kwenye ndoa na ukaendeleza michepuko pembeni?Unamshauri mwenzio abaki kwe ndoa ila awe na kidumu cha kumfariji ili hali we mwenyew tu ulishindwa na ukaachika mpaka mara saba,Rejea post zako huko juu,
  15. D

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Sasa kama hawakuwa mabikira si inamaana walishindwa kuwa waaminifu utotoni/ujanani mwao,sema hapo wamezidiana hafu inawezekana mdada aliikamia ndoa kishenzi kama dabi ya kariakoo
Back
Top Bottom