Hali ya nchi baada ya kuapishwa rais Novemba 2020

Wajumbe

Senior Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
136
Reaction score
379
Najaribu kuwaza sipati jibu. Je atapita mgombea gani?

Je, Uhuru na Demokrasia itakuwepo au ndo tutarudi 2015/2020?

Je, waliompinga rais mpya watatekwa, watauwawa, watashtakiwa?

Je, rais mpya atalipa visasi kwa wabaya wake na watu waliokuwa wanampinga?

Hata sipati jibu Tanzania itakayoanzia Novemba 2020 mpaka Octoba 2025 itakuwaje?

Mungu ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Zanzibar
 
Tusimruhusu mtu yule kurudi tena ikulu itakuwa tunafanya makosa makubwa tutakayojutia kwa miaka mingi.
 
Maisha yatazidi kuwa magumu nadhani ikipita ccm nchi itakuwa kama zimbabwe tu
 
Najaribu kuwaza sipati jibu. Je atapita mgombea gani?

Je, Uhuru na Demokrasia itakuwepo au ndo tutarudi 2015/2020?

Je, waliompinga rais mpya watatekwa, watauwawa, watashtakiwa?

Je, rais mpya atalipa visasi kwa wabaya wake na watu waliokuwa wanampinga?

Hata sipati jibu Tanzania itakayoanzia Novemba 2020 mpaka Octoba 2025 itakuwaje?

Mungu ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Zanzibar
Mimi picha ninayo after novemba 20. Mabeberu wataomba po...Rais atakayeapishwa ni JPM....huyo TL aliyetumwa na mabeberu ndiyo hivyo tena..
 
Najaribu kuwaza sipati jibu. Je atapita mgombea gani?

Je, Uhuru na Demokrasia itakuwepo au ndo tutarudi 2015/2020?

Je, waliompinga rais mpya watatekwa, watauwawa, watashtakiwa?

Je, rais mpya atalipa visasi kwa wabaya wake na watu waliokuwa wanampinga?

Hata sipati jibu Tanzania itakayoanzia Novemba 2020 mpaka Octoba 2025 itakuwaje?

Mungu ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Zanzibar

Kwa mtazamo wangu TL ataondoka na kwenda kuishi ulaya maana ana ppt ya ulaya tayari
 
Omba Mungu sana, maana akipitishwa ndio utalimia meno ki kweli kweli
 
JPM akipita majiji, miji na vijiji, taasisi na vikundi vyote vinavyoonekana kumuunga mkono Sana Lisu MWAFWA. Si mnamfahamu huyu jamaa?

Ataaadhibu mpkmk panya wa kwenye ukoo. Dawa yake ni kuhakikisha hapiti.
 
Akishinda JPM itakuwa ni zaidi ya sasa hali ya kimaisha,kwanza atajiongezea muda wa kutawala,na sheria nyingi tu zenye kumpa mamlaka zitaingizwa na wabaya wake watashughulikiwa kwa sana
 
Back
Top Bottom