Recent content by DOLA 100

  1. D

    JamiiForums Tanzania Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    Kaze kwa Nini anaenda kuzuiya muda wote halafu Hana mashambulizi ya kushtuka ya kufika kwenye boksi la Yanga? Hili Tatizo lipo kwenye timu karibu zote ndogo ndogo za Nbc... Wanacheza vizuri kuziba Mashimo Ila kwenye kushambulia bado makocha wanasafari ndefu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    Nimeshangaa sana,timu inazuiya muda wote halafu haikai na mali....Ila ninachokifahamu Ni kwa Timu zote ndogo za Tanganyika Tatizo ni Hilo Hilo siku zote watazuiya sana....wanapopata mpira hawana counter attack za kushangaza wachezaji wanakuwa hawana ufanisi wa kufika hata kwenye boksi la...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bunge lafuta Uongozi wa Serikali ya jiji la Derna kwa kutowajibika kudhibiti Mafuriko

    Uamuzi wa shinikizo kutoka kwa wananchi bunge limeona mbali,ili kulinda vibarua wameona waimbe wimbo mmoja na wananchi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Mkuu unamsimanga mwenzako kwenye matatizo sio poa,wanaume huwa wanakuwa na nguvu kubwa Sana ya kushawishi chochote kwa mwanamke....usitoe kauli Tata.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui tutaishia wapi na huyu mke wa mtu

    Mwisho wake Ni balaa Kama hukuachana nae.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Zanzibar, naombeni muongozo tafadhali

    Mkuu kazi za ulinzi zinapatikana Kuna wadau wanahitaji.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Sio huyo Ni yule Dotto Imeli mkuu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

    Digrii Saba zote za Nini?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Upungufu wa umeme utapata suluhisho baada ya kukamilika bwawa la Nyerere au nasema uongo Ndugu zangu?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Huko soko lipo la uhakika muda wote? Au Kuna msimu?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Sawa shukrani mkuu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Mkuu Gharama za kuwafikisha huko zinaweza kula faida? Kutokea Mwanza? Dagaa wa kavu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Wakuu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Nyie ndio Msaada kwangu.
Back
Top Bottom