Recent content by DOGOSA

  1. D

    LIVE:Breaking news:CHARLES TAYLOR SENTENCING

    Hatimaye aliyawahi kuwa raisi wa liberia ndugu charles taylor baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya kimataifa ya haki za binadamu, leo hii amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka hamsini (50) gerezani. Suala la kutafakari hapa ni, je adhabu aliyopewa inalingana na kosa alilolifanya kwa nchi na...
  2. D

    Nini mustakabali wa chadema

    Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo kimetokea kujizolea umaarufu na kujiimarisha kwa kujizolea wanachama wengi na kuongeza idadi ya wabunge mjengoni kuanzia wa kuchaguliwa mpaka wa viti maalumu. Hii inaonekana kuwatia hofu chama tawala hasa walivyo na...
  3. D

    Wote wangu sasa niende wapi .............

    Kuna bi mdashi mmoja kitaa cha jirani alitoa kali ya mwak, lakini yote ilikuwa katika kudhihirisha upendo wake kwa ndugu jamaa na marafiki zake. One day alipokea taarifa ya msiba kutoka kwa swaiba wake ambaye alifiwa na mwanaye na wakati huohuo kuna jirani yake alikuwa anamwozeza bintiye. Hawa...
  4. D

    Nitawatofautishaje wanawake hawa ..........................

    Siku hizi wanawake wengi wamekuwa artificial, i mean wanapendeza kwa bidhaa za kichina zinazobabilisha mwonekano wao, kuanzia vichwani (mawigi and such stuffs), vipozozi (cream,mapouda n.k) na miili yao ndo usiguse coz kuanzia matiti (chakula ya mtoto), mahipsi (bastola), makalio (wezere) yaani...
  5. D

    Yupi anafaa kuolewa kati ya hawa?

    Kuna kijana anahitaji ushauri wangu juu ya msichana yupi anafaa kumuoa kati ya hawa wawili anaodate nao, nimeona ni vyema kupata ushauri kutoka kwenu wadau kabla ya kumuadvice accordingly! Binti wa kwanza ni mrembo wa haja - namaanisha mrembo kweli kweli, hawa wa kwenye magazeti tupa kule, ana...
  6. D

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    You rock bro, endelea kutupa updates. Usijali jinsi unavyomudu upenyezaji wa habari ki-intelijensia tutakupa ukuu wa wilaya next tym!!
  7. D

    Mahakama za mwanzo kuboreshwa

    Hivi sasa kuna usaili unaoendelea kwa ajili ya mahakama za mwanzo, ambapo kigezo kikubwa ni kwaba tofauti na hapo kabla sasa hakimu wa mahakama ya mwanzo anatakiwa kuwa na shahada ya kwanza ya sheria. Je hii itapunguza ubabaishaji katika mahakama zetu za mwanzo? Ila tukumbuke miundo mbinu...
  8. D

    Legal

    Hi guys, mambo niaje. Mkisikia kazi inahitaji lawyer plz mnitel!!
Back
Top Bottom