Recent content by dogodogo 2

  1. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika maandishi mekundu fb

    Habari wakuu, naomba kwa mwenye /wenye kujua namna ya kuandika maandishi mekundu Facebook atuelekeze. Nawasilisha [emoji120]
  2. dogodogo 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wa mtu anataka nifanye nae mapenzi, eti mumewe hawezi kitandani

    Joseverest atakupa good advice mtafute
  3. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa ku comments au kujuzana maswali ya interview

    Why do you want to work with us? Unajibu nn hapa
  4. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa ku comments au kujuzana maswali ya interview

    Habari wakuu, nimeona ni vizuri kuanzisha uzi maalumu wa kuhabarishana maswali ya interviews yaani usahili wa mahojiano na wa kuandika ili tuweze kujijengea uwezo au uelewa kujibu maswali,, uzi huu ni kwa kada mbalimbali, unaweza weka tangazo la kazi pia. Let's share now
  5. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

    Mmmh wellcome back
  6. dogodogo 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wa mashair yahusuyo ugumu wa maisha

    Full stop maisha magumu hasa yetu watz
  7. dogodogo 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wa mashair yahusuyo ugumu wa maisha

    COMENT CHOCHOTE HATA SHAIRI LENYE KULENGA UGUMU WA MAISHA, HALI HALISI MITAANI! NAANZISHA : Kifo cha maji kushoto, Kulia Kifo cha moto: Kukubali, kukataa, Kila moja ni balaa! Kote uko hatarini, Hujui ufanye nini. Ongeza na wewe
  8. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Kwa niaba ya joseverest unakaribishwa
  9. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Wasaka ajira

    Tuna upload copy na sio original?
  10. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Wasaka ajira

    Tujuzane hapa gharama
  11. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Mchumba anatafuwa umri 18-29

    Wajina wangu kwa real name nakutakia kila la kheri
  12. dogodogo 2

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyezaliwa na VVU aishi bila ya virusi kwa miaka minane

    Mmmh wacha tumuachie Mola tu, wa south Africa wasomi haswa cjui taifa la bongo tutagundua nn
Back
Top Bottom