Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

Katafute jembe ulime hzo kazi kama ni kijana wa kiume hazipo sikuhz tunawapa wadada tena na wenyewe baada ya kuonesha weredi sana.

Hakuna mahali utakuja pewa kazi kama zawadi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna kaz za wanaume na wanawake
na wale makondakta wa kike nao wamekosea kuwa makondakta?
Unamwambia mwenzio akalime...Na wewe unalima
una data za serikali kujua kwamba fani fulani kaz zake hamna?

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom