Recent content by dodomao

  1. dodomao

    JamiiForums Tanzania Training vacancies!

    1
  2. dodomao

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa magari kwenye minada ya Japani

    Kanunue kwenye kampuni maana kwenye mnada unaweza kuuziwa screpa
  3. dodomao

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kupangisha Boma Ngombe Mjini

    Moshi wilaya ya hai
  4. dodomao

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kupangisha Boma Ngombe Mjini

    Miezi 3 kodi ni 100000
  5. dodomao

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Huenda hao watu walijiunga na kifurushi cha TASAF ambacho mnufaika anafanya kazi ndipo analipwa .sasa kama hakuenda kwenye kazi outomatic mfumo unakataa kumlipa na ninachofahamu kujiunga ni hiari.
  6. dodomao

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kupangisha Boma Ngombe Mjini

    Nyumba ya kupanga yenye uzio wa ukuta,umeme ,maji na vyumba vitatu vyote master bed room inapangishwa Boma Ngombe karibu na chuo cha ufundi st Joseph mazungumzo yapo Piha namba 0715407588
  7. dodomao

    JamiiForums Tanzania Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

    Timu iliyoundwa inatumia pesa za nani
  8. dodomao

    JamiiForums Tanzania Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Mimi wamenigonga pale mianzini kwenye zebra
  9. dodomao

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wizi wa vifaa ndani ya magari hospitali ya KCMC balaa

    SIKU ALIYOBAMBWA NA KUTIWA MIKONONI MWA WANA USALAMA
  10. dodomao

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia video ya uzinduzi wa kipindi cha Aridhio TBC Utajiuliza mengi

    Ninaomba kuuliza hiyo team iliyotangaza hicho kipindi walikutana hapo siku hiyo moja na kutangaza na kula keki pamoja au kulikuwa na muda wa siku kadhaa waliokutana pamoja kishare ideas kufanya majaribio na hatimae wakafikia siku ya kilele cha uzinduzi!!!!!!!najiuliza maswali haya na ninatamani...
  11. dodomao

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    ipo sokoni number B Bei yake ni mil 12 Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. dodomao

    JamiiForums Tanzania Watu kusalia majumbani (total lockdown) hakuepukiki, ndiyo njia pekee ya uhakika itakayo tunusuru na kusambaa kwa Corona nchini

    Watoyo wote wapo likizo lakini wazazi wao walikua wamejazana kwenye nightclubs na bar usiku baadae wanaenda kuchanganyika na watoto wao Ninaumia sana kuona uzembe wa namna hii bora hao watoto wangebakia huko shuleni na waalimu wao Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. dodomao

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna natural hot springs ngapi?

    Iko Kilimanjaro inaitwa kukiletwa Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom