Wakuu habarini za majukumu, samahani mwenye uzoefu au anayefahamu utaratibu wa kununua magari kwenye minada ya Japani anisaidie. Nasikia mnadani magari ni bei nafuu.
1. Naomba kufahamu utaratibu ukoje, kuanzia kushiriki mnada, kununua mpaka kulifikisha TZ
2. Je ni kweli bei ni nafuu kuliko kwenye haya makampuni kama SBT, Beforward, Cardeal etc?
3. Usalama wake ukoje?
Nawasilisha.