Siku zote ukweli una uma. Hajadai urais bali ametoa hoja yake ya kuondolewa nafasi ya kazi ajili ya kufata taratibu za kazi na sio maagizo ya mtu. Jibu kwa hoja.
Makato ya pango ni kwa kila mtanzania au ni kwa wale wenye majumba. Mimi ni mpangaji. Niliomba separation kujiondoa kwenye kero la kulipishana umeme zaidi ya matumizi yangu.
Sasa napata kero ya kulipishwa pango. Hii ni lazima hata lwa wasio na majumba?
Wapinzani hoja wanazo. Tena hoja zao ni kali zinazo simamia maslahi ya Taifa kwa uhalisia wake na ndiyo maana serkali inatumia vyimbo vyote vya dola na vyombo vya habari kukandamiza hoja za wapinzani zisiwafikie wananchi. Ama wananchi wakizifahamu na kuzielewa basi CCM ambayo imekuwa madarakani...
Yawezekana wengi wao ni wa CHADEMA. Unapo fanya appointment ya kuchanja sijaona sehemu inayo dai chama unachotoka. Wanauliza umri, kitambulisho cha NIDA au PASPORT au KITAMBULISHO CHA KURA. Angalia katika jamii unyo ishi. Ni wangapi wamechanja na ulizia wametoka chama gani.
Sio tozo za miamala na manunuzi ya bundle pekee. Hata malipo ya majengo kwa LUKU pia ni ufisadi na wizi. Wengi wanakatwa lakini ni wapangaji walio omba separation. Tena wengime wamesha kufa na wengine wamehama. Vyema wanapo kata wataje na namna ya jengo mteja analo daiwa.
KUPANGA NI KUCHAGUWA. Uchumi, Utamaduni, Maisha ya Watanzania yame tekwa na UKOLONI MAMBOLEO. Hatuwezi kuwa na sera za UJAMAA NA KUJITEGEMEA wakati tuna tamani UCHUMI HURIA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.