Uchochezi gani? Mbona hata viongozi wakuu na wanachana wa kawaida wa CCM huwa wakisema waziwazi kuwa bila CCM taifa litayumba: yaani litaingia vitani! Kwa nini wasikamatwe kwa uchochezi? Hii ni dalili ya serkali legelege.
Wimbo ni mzuri! Nilishasema maendeleo yanakuja kwa kuelezana ukweli na kama hatutaki ukweli kwa lengo la kuendelee kuwa maskini lazima tuajiri watangazaji walamba nyayo ambao wanashadidia uongo. Tuko pamoja, tutafika tu kwani harufu ya mavi hazuiliwi kwa kufunikwa na tenga.
Mataifa yaliyoendelea ni matokeo, pamoja na mambo mengine, ya kusema ukweli na kusahihishana ikiwa ni pamoja na kuwajibishana. Sisi kazi yetu ni uongo na kuogopana. Hivi kweli tunasherekea miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania bara? Je tulipopata uhuru mwaka 1961 tulikuwa tukiitwa Tanzania bara? Je...
Ni haki yenu kupata mafao yenu lakini HAMWEZI KUGOMA kwa sababu hamna ujasiri! Wanasiasa wanawajua kuwa wengi wenu ni waoga, hamjitambui ingawa mnafundisha wanafunzi kujitambua, hamjui haki zenu, mna vyeti bandia kwa hiyo ajira yenu ni kama upendeleo na hamna ujanja mwingine wa kuishi ndiyo...
Kama ni kweli...Blog haiwezi kusihi kwa unafiki.....tumeshuhudia watu wote waliokuwa wakiishi kwa unafiki wakipata wakati mgumu sana wakati wa mabadiliko! Wajasiriamali hufikiria mbali...Michuzi atakuwa mfanyabiashara ambaye anataka kuishi leo tu!
Anaogopa ukweli...anajua wakishika dola atakufa njaa hapa mjini kwani utakuwa mwisho wa misheni town! Labda atarudi kwa babu yake Kenya! Anaogopa kurudi kwa babu yake kwani hawezi kupambana na maisha zaidi ya kusubiria "tips" kama mhudumu wa bar!
Nyamanyamanyama
Nyama!
nyama ya kuku
Nyama!
Nyama ya mbwa
Nyama!
Mnashangaa nini? Mbona sisi wahehe tumenyamaza huku mkijua kuwa mbwa kwetu ni kitoweo safi na kwamba tuko mbioni kuanzisha chuo cha ufugaji na upikaji mbwa ili tupate soko la nje na ndani kwa wahehe wote na rafiki zao wachina kwa...
Kumekucha Tanzania! Kila mtu atadai kitambulisho chake.....wenye vipaji vya kula msosi nao wako mbioni kuwa na vitambulisho vyao! Hapo ndipo ufisadi, uchakachuaji, ukameruni na mengineyo mengi yanapoanzia...
Wabongo tuko juu katika kubuni mambo ya kifisadi huku tukiacha mambo muhimu yakienda...
Napenda kuelezea hisia zangu za hasira kuhusu watu wanaopewa madaraka makubwa kusimamia roho ya nchi huku hawajiwezi hata kujisimamia wao wenyewe! Tumeona uwezo wa watu hawa na bado tunaendelea kuuona ukishuka kutoka ziro kuelekea kuzimu! Sasa mtu kama huyu unampa mamlaka makubwa juu ya katiba...
Tatizo kubwa la wabunge wa CCM ni kuwa:<BR>1. Wengi wao hawana elimu ya kutosha kuchambua mambo achilia mbali elimu ya darasani<BR>2. Wachache wao walichakachua elimu zao kwa ajili ya kuwakoga wapiga kula wao. Ndio maana wamekaa kiasira kwani tunawajua kuwa walikuwa vilaza darasani.<BR>3...
Tatizo kubwa la wabunge wa CCM ni kuwa:
1. Wengi wao hawana elimu ya kutosha kuchambua mambo achilia mbali elimu ya darasani
2. Wachache wao walichakachua elimu zao kwa ajili ya kuwakoga wapiga kula wao. Ndio maana wamekaa kiasira kwani tunawajua kuwa walikuwa vilaza darasani.
3. Wachache sana...
Wote wapo na hata Mfalme Jeta ambaye kila wakati analia njaa licha ya kwamba domo lake kalipanua kutoka kwenye chanzo cha mto wenye kila aina ya takataka zinazoingia tumboni mwake!!!!!!!....ila muda una wakati wake katika kufanya mageuzi (soma Kivuli Kinaishi)
Usulaumu mtu anayekukumbusha ulichotakiwa kufanya. Laumu mtu aliyesababisha ushindwe kutimiza wajibu wako kwa muda. Laumu serikali ya magamba ambayo imetufikisha hapa...tuipige mawe kwani sasa tumeelewa chanzo ni nini!
usitegemee Spika wa sasa akaepukana na mipasho hata kama jambo ni muhimu sana kwa taifa. Amezaliwa na mipasho,amakulia katika mupasho, analelewa na mipasho na ana akili ya kimipasho. Hana uwezo wa kufikiria mambo zaidi ya mipash.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.