Senior Officers From ATCL Wafikishwa Kisutu na TAKUKURU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Senior Officers From ATCL Wafikishwa Kisutu na TAKUKURU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mihayo, Nov 22, 2011.

 1. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Senior officers wa ATCL na waliostaafu i.e Mattaka and aliyekuwa ana kaimu Williamu Haji wamefikishwa mahakama ya kisutu na Takukuru wakikabiliwa na tuhuma za kutumia madaraka vibaya.

  Source: Myself
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,909
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Habari kama hizi kule kwa Issamichuzi haziruhusiwi na zinabaniwa ndiyo maana anapata matangazo mengi kutoka kwa watu kama hawa, kwasasa ATCLwana tangazo lao pale. Mkuna hukunwa
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ngoja tutege masikio yetu.
   
 4. d

  doctorwasummary Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli...Blog haiwezi kusihi kwa unafiki.....tumeshuhudia watu wote waliokuwa wakiishi kwa unafiki wakipata wakati mgumu sana wakati wa mabadiliko! Wajasiriamali hufikiria mbali...Michuzi atakuwa mfanyabiashara ambaye anataka kuishi leo tu!
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 9,895
  Likes Received: 3,302
  Trophy Points: 280
  kiini macho tu mkuu, akina BAZIL, YONA NA MGONJA kesi imechukua mda gani mpaka sasa?? watazungushazungusha kama kawa mambo yanayeyuka kiaina!!
   
 6. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  dhaman kwa million 20
   
 7. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  wakati wa birth day ya michuzi blog mwaka huu aliwashukuru watu wengi sana kwa kufanikisaha blog yake. hakumsahau JK. hapo nikasahitimisha kweli JK ni mtu wa watu. matunda yake ni mpaka kwetu sisi akina nanihiii
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Wanawatengenezea ulaji tu mwisho wa siku Mattaka atalipwa mihela chungu nzima kwa kumuhalibia jina!!
   
Loading...