unavyo vingapi mzee?mi kamoja tu nshakata tamaa kama una vitatu hivi tafuta kabisa hospitali ya ushauri nasaha na gwajima ndio huyo kaingia siasani sijui utaenda wapi
Huko Moshi atakayemiliki hii skrepa anaitwa Bilionea ukoo ukoo mzima na hii gereji na kiwanja unapewa huko uanze kufuga nguruwe ukifa wanazika hukohuko.
mungu anawaona wachaga
LOPOLOPO anaforce king ili atandikwe aanze kulia lia kwa mabeberu si mnaona mnaona wamenichapa tena.hizo strategy za chama chake maana ndio waliomvunja mguu.
huku chama dume wanamsoma tu kidiplomasia atakuja kuotewa atabaki anajamba tu. Jiwe anamwangalia tu anasema NHIIII😁
TU avokado huto tuko km vimapera vibichi ndo unapiga kelele hapa,nenda Mbeya pale ule avokado moja tu family nzima mtakula na kusaza, soko la ndani linatutosha nyie pakieni kwenda Europe hivo vitakataka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.