Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Kwahiyo kesho asubuhi lazima ahame pale Masaki sio 








Sasa unatuuliza sisi utazani sisi ndio kunenge vileWasalaam
Kufuatia kuteuliwa kwa ndugu Aboubakar Kunenge kushika nafasi ya ukuu wa mkoa wa Dar es salaam iliyokuwa chini ya ndugu Paul Makonda (mbunge mtarajiwa)
Baadhi ya wakazi wa jiji la ar es alaam wamegubikwa kwa vifijo na nderemo baada ya teuzi hiyo, huku wananchi wengi wakionekana kuwa na furaha na hatua hiyo.
Ndugu Kunenge kabla ya hapo alikuwa katibu tawala wa mkoa huo ambapo sasa anaenda kushika usukani wa kuendesha Jiji hilo, tutegemee nini kutoka kwake? Ni mabadiliko gani tutaenda kuyaona?
View attachment 1507701
Let's meet at the top, cheers![]()
SubutuWaziri Mkuu ajae
Mapema sanaa, kabla wavuvi hawajatoka ferry.
Let's meet at the top, cheers![]()

Mwalimu wako wakiswahili alipata shida sanaSubutu - Thubutu.
Let's meet at the top, cheers![]()
Kunenge kama kunenge! Sijui na yeye atakuja na sera gani.
Let's meet at the top, cheers![]()
Kwani Rais alisemaje?! Ukiomba ruhusa kugombea ubunge huku una cheo kingine anakupa hio ruhusa haraka sana (anakutoa hio nafasi). Na ndio hiko kimefanyika kwa Makonda. Sasa shida iko wapi?
AU MVUVI MDOGO KULE NYAMAGANA YOTE YANAWEZEKANA ALISIKIKA JIWE AISEMAkatoka ukuu wa mkoa mpaka kuwa waziri wa mambo ya ndani mtarajiwa.
Hakuna jipya!! Kwa huyo hapo usitegemee jambo baya dhidi yake, mtoto mpendwa!!! IGA UFEBaada ya hotuba ya Magu kesho msikimbie jukwaa
Labda legacy ya familia yakoYes, kaacha legacy yake ngoja tumpime ktk uwaziri tena.
Hizo habari umezitoa wapi?
Let's meet at the top, cheers![]()