Ni kweli mkuu ila, hakuna Rais ataekamilika kwa 100%, kikubwa awe na unafuu mkubwa akilinganishwa na waliopita au washindani wake.
Nb. Kikubwa zaidi kwangu, asiwe mtekaji au muuaji, haya mambo yananikwaza sana, huwa yananifanya nifute mema yote yaliyotendwa, kwa kifupi awe mpenda haki.
Hata mimi pia.. maana trig ilikua inanikera sana, yaan kama swali ulilokutana nalo hujawahi lisolve bora uache tu then ufanye mengine. Kuna mda inaweza kukufariji then ukaanza kwa mbwembwe.....
Utaskia; Consider LHS..[emoji4]
Unaenda unaendaaa, badae unakuta RHS iko tofauti kabisa na...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu acha kumtisha mwenzio kiasi iko khaaa!!!. Je kama Calculus ndo ataielewa zaidi kuliko izo[emoji28]
Kikubwa kwa Adv. Maths, ukipewa kacocept kadogo basi wewe kachimbue saaanaaa na kusolve saaanaa!, hapo hesabu zitakua rahisi kuliko masomo mengine...
Hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.