Recent content by dmagangs

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayojali ukarimu na kumuamini mgeni usiefahamiana

    Ishi kwa misingi ya ulipo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayojali ukarimu na kumuamini mgeni usiefahamiana

    Hatahao wachabe wenye imani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayojali ukarimu na kumuamini mgeni usiefahamiana

    Mi nilikodi bodaboda saa 7 usiku kwenda klabu kuwa nitamtolea tgpesa. Mtandao uligoma alinirudisha kwa makubaliano ya kumlipa kesho yake jspokuwa tulikuwa hatujuani. Nilimlipa,. Ujumbe tuheshimu ahadi vingimevyo titapoteza
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Afadhari umenena inasemekana[emoji11] [emoji11] kama hauna uhakika kuna sababu gani ya kuongea?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Hujipendi![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. D

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Jitahidi kushangilia lakini sio kitu cha kumuombea mtu. Na bahati mbaya hii kumbakumba haiangalii usishangae inakushukia wewe au babayo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ukame: Bwawa linalopakana wilaya Bagamoyo na Morogoro lakauka

    Tumefika pabaya. Ukweli hausemeki!!!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Walimu zaidi ya 600 wagomea kiwango cha posho kwa ajili ya semina

    Kuna viazi na chain 1000 mchana angalia 3000 kwa nini hiyo ?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kurogwa

    Msichanganye teknelogia 2tofauti ya kisasa na ile ancient. Unaongea humu kwa sababu wale wanahitaji physical identity na si hii ya Kielektroniki. Kama kweli unawapa jaribio wafuate kiuharisia
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mfano; Viongozi wa CHADEMA wanavyojirundikia Vyeo na Madaraka!

    Ungeanza kwa kutufahamisha katiba ya chadema inasemaje. Japokuwa sijaisoma, uhalisia ni kuwa mjumbe wa kamati kuu automatically atakuwa mjumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa mwana JF aliyepo Dar kutokwenda gereza la Keko leo for visiting

    Kwenda kumuona kwa wingi ni wazo jema lakini kwa uzoefu wangu keko hakuna visting day. Sanasana watamuita mtssapimiana juujuu na kutakiwa kupisha aidha kama ni kupeleka chakula wanaruhusu kila siku mara mbili. Saa 4 na saa 7
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wote mnaojifanya sheria ifate mkondo wake, mnaniboa

    Kama umesoma vizuri nimesema kwa mujibu wa vyombo vya habari na nikasema kama kuna la ziada tujuzane. Kama ulikuwepo mahakamani we ndio unapaswa kutuelewesha hayo mengine.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wote mnaojifanya sheria ifate mkondo wake, mnaniboa

    Mkuu kinachokuboa ni kipi hasa, kwa sababu Max kashitakiwa hili sio jambo la kushangaza kwa mwenendo tulionao hapa nchini kwa sasa. Bahati nzuri amefikishwa mahakamani na dhamana iko wazi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari alirudi mahabusu kwa kukosekana mdhamini mmoja kati ya wawili kwenye kesi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

    Namaaniisha mwanasiasa
Back
Top Bottom