Mfano; Viongozi wa CHADEMA wanavyojirundikia Vyeo na Madaraka!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,580
2,000
Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda baada ya wagombea wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.

"RAIS APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.""
 

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,194
2,000
Mch. Msigwa ni;

{1}Mbunge

{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema

{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema

{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema

{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa

{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!

{7}Waziri kivuli Maliasili na
Utalii.

{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE
MADARAKA, NA WAKUU WA
MIKOA PIA WANA VYEO VINGI
SANA WAPUNGUZIWE" by
Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa
ni yupi? Wapinzani
wanafanya siasa za ovyo
sana!!.

C&P
Ni ya kweli haya??
 

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,291
2,000
Hutakuta mwanchama wa TANAPA kachangia huu uzi zaidi ya matusi tu....Kule vi...l....a.....za ndio wanaongoza!
 

Moi Dinya

JF-Expert Member
May 29, 2014
1,298
2,000
Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa ni yupi? Wapinzani wanafanya siasa za maji ya chumvi
 

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,430
2,000
Khasim Majaliwa
Mbunge
Waziri Mkuu
Katibu wa vikao vya serikali
Kiongozi wa Serikali Bungeni
Mwenyekiti Mawaziri
Mtendaji mkuu wa Serikali
Mjumbe Kamati Kuu CCM Taifa
Mjumbe Kamati CCM Mkoa
Mjumbe Kamati CCM Wilaya
Mjumbe Kamati Tendaji CCM Taifa
Mwenyekiti CCM Jimbo/Wilaya
Mwenyekiti Mfuko wa Maafa Taifa
etc...
 

spernew

Member
Jan 12, 2016
56
95
Khasim Majaliwa
Mbunge
Waziri Mkuu
Katibu wa vikao vya serikali
Kiongozi wa Serikali Bungeni
Mwenyekiti Mawaziri
Mtendaji mkuu wa Serikali
Mjumbe Kamati Kuu CCM Taifa
Mjumbe Kamati CCM Mkoa
Mjumbe Kamati CCM Wilaya
Mjumbe Kamati Tendaji CCM Taifa
Mwenyekiti CCM Jimbo/Wilaya
Mwenyekiti Mfuko wa Maafa Taifa
etc...
Ha ha ha ha.............!
 

dmagangs

Member
Jul 2, 2016
36
95
Mch. Msigwa ni;

{1}Mbunge

{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema

{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema

{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema

{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa

{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!

{7}Waziri kivuli Maliasili na
Utalii.

{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE
MADARAKA, NA WAKUU WA
MIKOA PIA WANA VYEO VINGI
SANA WAPUNGUZIWE" by
Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa
ni yupi? Wapinzani
wanafanya siasa za ovyo
sana!!.

C&P
Ni ya kweli haya??
Ungeanza kwa kutufahamisha katiba ya chadema inasemaje. Japokuwa sijaisoma, uhalisia ni kuwa mjumbe wa kamati kuu automatically atakuwa mjumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu.
 

amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,080
2,000
kazi kubwa mnayoifanyahamstahili kulipwa buku saba kabisa, kwani mkulu anavyeo vingapi?
 

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,773
2,000
Khasim Majaliwa
Mbunge
Waziri Mkuu
Katibu wa vikao vya serikali
Kiongozi wa Serikali Bungeni
Mwenyekiti Mawaziri
Mtendaji mkuu wa Serikali
Mjumbe Kamati Kuu CCM Taifa
Mjumbe Kamati CCM Mkoa
Mjumbe Kamati CCM Wilaya
Mjumbe Kamati Tendaji CCM Taifa
Mwenyekiti CCM Jimbo/Wilaya
Mwenyekiti Mfuko wa Maafa Taifa
etc...
huwezi kujiteta kwa kujihalalishia uovu watu watakuona wa ajabu kwa nini mnaiga mambo mnayopigia domo kwamba hayafai?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom