Wote mnaojifanya sheria ifate mkondo wake, mnaniboa

Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,250
2,000
Wote mnaojifanya ooh wacha sheria ifate mkondo wake.....

Ma traitor nyie....

Hivi unajua mpo hapa sababu Melo na mwenzie,wali work hard, jukwaa likaanzishwa na leo lipo hapa,mnamwaga mashudu yenu Free!

Kuweni wakweli kuna forum ambayo watu wanaheshimiana kama hili?....Muslim wanatoa views zao,wakristo pia,wanaoabudu sisimizi na wachawi wote mnapewa ruhusa kuandika yao....

Sasa nyie mnaoona Max ni sawa kuwekwa ndani nawashangaa mpo hapa kufanya nini kwenye BARAZA LA MELO???YES MSIJISAHAULISHE,YEYE NDIE ALILIANZISHA!

Na nyie mnaomshikilia,the very fact Jamiiforums iko Hewani, mnajua kabisaaa hana hatia, otherwise mngeifunga jamii forums. Mnachekesha kwa kweli, ni sawa na kumkamata muuza gongo,na biashara ya gongo anaendelea kuuza,hapo VEPEEEE???!

Huo ni mfano, maana hamchelewi kujisahaulisha...
Naomba nikuulize swali; kwa mfano ukianzisha kanisa na baadhi ya waumini wako wakawa majambazi wanaojificha kanisani kwako, na wewe unawajua, Ukaambiwa uwatoe ukakataa. Je, uachwe tu eti kisa ulianzisha kanisa? Waumini wasio na hatia wakae kimya tu sababu na wao wanasali hapo kanisani kwako?
Rebeca, tumia akili za kuzaliwa.
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,459

Hahaaaa mkuu na mie nakuuliza,unajua kabisa kuna majambazi yamo kanisani mwangu unanifata ili iweje?si uwachukue?huoni ukinifunga unawakosesha kondoo wengine wa bwana huduma ya upako lol.......hahaaa, na key problem unakua hujaisort sababu majambazi uliyotakiwa uyakamate umeyaacha yanadunda mtaani!

NB, niko humu miaka mingi hakuna jambazi humu,kama yupo I dare you mtaje?!
 
MKUU MANGE KIMAMBI NDIO ALIANZISHA HILI SAGA,KWA KUSEMA MAMBO PRIVATE YA MKUU,HAPA MAX NI SCAPE GOAT TU,ANATUMIKA BUREEE KUSEND A MESSAGE KWA WATU WASIGUSE ANGA ZA MAGUFULI, KUSEMA PERSONAL ISSUES ZAKE.

Free him,he doesn't deserve that!
 
dmagangs

Member
Jul 2, 2016
36
95
Wote mnaojifanya ooh wacha sheria ifate mkondo wake.....

Ma traitor nyie....

Hivi unajua mpo hapa sababu Melo na mwenzie,wali work hard, jukwaa likaanzishwa na leo lipo hapa,mnamwaga mashudu yenu Free!

Kuweni wakweli kuna forum ambayo watu wanaheshimiana kama hili?....Muslim wanatoa views zao,wakristo pia,wanaoabudu sisimizi na wachawi wote mnapewa ruhusa kuandika yenu. .

Sasa nyie mnaoona Max ni sawa kuwekwa ndani nawashangaa mpo hapa kufanya nini kwenye BARAZA LA MELO???YES MSIJISAHAULISHE,YEYE NDIE ALILIANZISHA!

Na nyie mnaomshikilia,the very fact Jamiiforums iko Hewani, mnajua kabisaaa hana hatia, otherwise mngeifunga jamii forums. Mnachekesha kwa kweli, ni sawa na kumkamata muuza gongo,na biashara ya gongo anaendelea kuuza,hapo VEPEEEE???!

Huo ni mfano, maana hamchelewi kujisahaulisha...
Mkuu kinachokuboa ni kipi hasa, kwa sababu Max kashitakiwa hili sio jambo la kushangaza kwa mwenendo tulionao hapa nchini kwa sasa. Bahati nzuri amefikishwa mahakamani na dhamana iko wazi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari alirudi mahabusu kwa kukosekana mdhamini mmoja kati ya wawili kwenye kesi ya 3. Labda tueleweshe kama kuna tatizo azidi
 
bintishomvi

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
1,094
2,000
Hahaaaa mkuu na mie nakuuliza,unajua kabisa kuna majambazi yamo kanisani mwangu unanifata ili iweje?si uwachukue?huoni ukinifunga unawakosesha kondoo wengine wa bwana huduma ya upako lol.......hahaaa, na key problem unakua hujaisort sababu majambazi uliyotakiwa uyakamate umeyaacha yanadunda mtaani!

NB, niko humu miaka mingi hakuna jambazi humu,kama yupo I dare you mtaje?!
Kwani mchungaji ana ubili ujambazi au anafundisha ujambazi
Ni uvivu wa utendaji wa kazi
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,459
2,000
Mkuu kinachokuboa ni kipi hasa, kwa sababu Max kashitakiwa hili sio jambo la kushangaza kwa mwenendo tulionao hapa nchini kwa sasa. Bahati nzuri amefikishwa mahakamani na dhamana iko wazi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari alirudi mahabusu kwa kukosekana mdhamini mmoja kati ya wawili kwenye kesi ya 3. Labda tueleweshe kama kuna tatizo azidi
MNHHHH

Kinachoniboa ni kwa nini kaka wa watu yupo ndani?

Hata kuwe na mlolongo gani wa kisheria the truth is he is innocent man!alitakiwa kuwa nyumbani na familia yake

Jukwaa limekaa miaka na miaka,WHY kushitakiwa now?

Ndio maana nikasema itakua issue ya Mange, imeibua haya yote.

ETI kushitakiwa sio jambo la kushangaza hahaaa wewe,kwa nini hakukamatwa miaka Hiyooooo?lazima tushangae atiiiii...

Yaani wanakuja na excuse za kijinga, eti haijasajiliwa,Yaani siku zote hizi msione haijasajiliwa,mpaka viongozi wenu wengine waliwahi kuja humu???

Anyway kinara aliyeipigia kelele sheria ya mtandao,ni January Makamba na yeye alitumbuliwa na Mange Kimambi.lol

Hahaaaa alitumbuliwa January na Mange,January akapropose sheria ya mtandao, akatumburiwa Magufuli then sheria is coming to effect lol

Mange kiboko.
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,464
2,000
Mkuu kinachokuboa ni kipi hasa, kwa sababu Max kashitakiwa hili sio jambo la kushangaza kwa mwenendo tulionao hapa nchini kwa sasa. Bahati nzuri amefikishwa mahakamani na dhamana iko wazi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari alirudi mahabusu kwa kukosekana mdhamini mmoja kati ya wawili kwenye kesi ya 3. Labda tueleweshe kama kuna tatizo azidi
Wewe haukufualitia tukio pale mahakamani inawezekana unaleta taarifa ambazo na wewe umezisikia mitaani ndio maana huna taarifa sahihi nna usidanganye watu kwamba wadhamini walikosekana kwa kosa la tatu, huu ni upotoshaji mkubwa unao ufanya fuatili kisa kwa ukamilifu kabla ya kusimama kam shahidi.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,043
2,000
Hahaaaa mkuu na mie nakuuliza,unajua kabisa kuna majambazi yamo kanisani mwangu unanifata ili iweje?si uwachukue?huoni ukinifunga unawakosesha kondoo wengine wa bwana huduma ya upako lol.......hahaaa, na key problem unakua hujaisort sababu majambazi uliyotakiwa uyakamate umeyaacha yanadunda mtaani!

NB, niko humu miaka mingi hakuna jambazi humu,kama yupo I dare you mtaje?!
Mimi huwa nawatukana kimya kimya tu matusi yoooote ninayoyafahamu na nisiyoyafahamu. Nina list ya matusi kabisa!!!
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Ccm wameweka li monster soon watajitambua, ni li Shetani linalojilazimisha kucheka kama baboon anakula mahindi
 
dmagangs

Member
Jul 2, 2016
36
95
Wewe haukufualitia tukio pale mahakamani inawezekana unaleta taarifa ambazo na wewe umezisikia mitaani ndio maana huna taarifa sahihi nna usidanganye watu kwamba wadhamini walikosekana kwa kosa la tatu, huu ni upotoshaji mkubwa unao ufanya fuatili kisa kwa ukamilifu kabla ya kusimama kam shahidi.
Kama umesoma vizuri nimesema kwa mujibu wa vyombo vya habari na nikasema kama kuna la ziada tujuzane. Kama ulikuwepo mahakamani we ndio unapaswa kutuelewesha hayo mengine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom