Recent content by DLuga

  1. DLuga

    Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Yah ukiona matangazo kwenye mistimu mshahara 300k elimu kidato cha nne na ukituma tu unaitwa kesho au hata siku hyo hyo unaweza kuambiwa uanze kazi, ujue kazi ndio hiyo
  2. DLuga

    Kozi ngumu, ajira hakuna

    Mhh hii mbona balaa, ila maybe afanye kokote tu pale ambapo watahitaji degree
  3. DLuga

    Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Daaah hizo bado zipo hadi leo aisee nyingi sana, yaani ukiona tu umepata au umeitwa kazini kwa urahisi hvyo ujue asilimia kubwa unakutana na hayo mambo
  4. DLuga

    Fundi wa kushona nguo anahitajika

    Maeneo gani? Dar au mkoa,
  5. DLuga

    Kwanini nikiomba ajira kwa Mohammed Enterprises Tanzania Limited - MeTL huwa siitwi?

    Ajira nyingi siku hzi ni kujuana tu , Imani imeshanitoka kupeleka Cv sehemu
  6. DLuga

    GE2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Tutaona Mengi uchaguzi wa mwaka huu aisee
  7. DLuga

    Changamoto za choo cha kukaa na jinsi ya kukabiliana nazo

    Ishu kubwa kwenye hivyo vyoo ni usafi aisee, bora vya kuchuchumaa ila kukaa sivielewagi kabisa
  8. DLuga

    Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

    Ni wewe tu unavyotafsiri, sidhani kama wao walikusuduia hayo unayoyasema
  9. DLuga

    Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Hali bado ni mbaya, mungu tu anasaidia
  10. DLuga

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Man u siku hz hatariiiiii
  11. DLuga

    Natafuta kazi

    Habarini WAna Jf. Mimi ni kijana wa miaka 25, elimu kidato cha 4 plus certificate/ Nna uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi sehem mbalimbali (mostly kwenye kampuni za betting) Natafuta ajira mwezenu nina nilikuwa kwenye kampuni hizi za betting ila korona ikasababisha watu wapunguzwe Kwa mwenye...
  12. DLuga

    Mishahara company za ulinzi

    Kampuni nying za ulinzi kweny malipo majanga, Labda ukiwa Supervisor kidogo afadhali
  13. DLuga

    What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    Kibahatibahati tu sema bado nipo nakomaa nao
Back
Top Bottom