Recent content by Django unchained

  1. Django unchained

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas

    Duh pole sana .. vumilia kufikia asbuh mtandao utakua poa na utaweza kula hapo kwa mama lishe...
  2. Django unchained

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Baada ya watu kupenda sana tigo wakawaongezea na N-yas-H
  3. Django unchained

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Iran avua nguo zote baada ya kughasiwa kuwa amevaa vibaya hijab

    hawa wanafaa kuwa wakimbizi tz.. nina eneo kiasi la kuhifadhi wakimbizi wawili kama hawa..au wanne kutoka ukraine.
  4. Django unchained

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

    wamezingua bwana,tangu tarehe 1 wamekaa kimya wamekuja ku notice trh 04, mimi nilivurugwa sana nina wiki mbili tu tangu nivitupie vi hela humo, wakawa hawapatikani . Na mbaya zaid hawapokei simu.
  5. Django unchained

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

    Hiyo ni hofu daraja ya juu kabisa...
  6. Django unchained

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanza imeharibika kwa ukahaba

    Ndugu me niko mwanza hapa ..nimefika leo na nimechukua room hapa nyegez stand mpya ..nipe location niende nikapeleleze ..ili nichukue hatua ..
  7. Django unchained

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unawezaje kukaa ukweni zaidi ya wiki mbili?

    Nataman kumsikia anajobu vipi........
  8. Django unchained

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

    Na mimi pia
  9. Django unchained

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    habari wadu, natafuta mnunuzi wa mihogo kwa jumla shamba liko kitanga ,Chanika
  10. Django unchained

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Duh
Back
Top Bottom