Recent content by dj-sulleh

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    mwambie aache
  2. D

    JamiiForums Tanzania Genge la vibaka kunduchi mtongani

    Ndugu zangu leo nimevamiwa na vibaka ofisini kwangu wakafanikiwa kumwibia mteja simu, begi na hela. Nilichofanya nimeripoti polisi kisha wakati tunarudi tukakutana na wale vibaka nikawaambia tafadhali rudisheni begi letu kusikia hivyo wakatoa mapanga na visu mimi nikatoa panga langu pia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananipa romance nzuri ila hataki kunipa penzi

    Naitwa Selemani nina mpenzi wangu tuko kwenye mahusiano mwaka na miezi miwili sasa ila hataki kunipa penzi kabisa ananambia ni bikra na atanipa tu nikifunga nae harusi.. Chakushangaza naingiaga nae lodge tunafanya romance naked hadi alaloana kabisa ila nikitaka kuingiza hapo ugomvi utazuka...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Yaan ww ni mpuuzi kwel si ule
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu ku trace simu iliyoibiwa

    Ushaliwa asee maana imei zinabadilishwa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Waweza niona pia niko dsm mabibo hostel
  7. D

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Touch replacement
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke aliyewahi kukulaza lock up anafaa kurudiana nae?

    Hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi/madiwani wa CHADEMA Ikungi wanashikiliwa na polisi kwa kufanya mkusanyiko bila kibali

    Sio siasa ile asee watu wanajadiliana jinsi ya kuchangia matibabu Hivi kwanini bindam mmekuwa hv jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Msitufanye watoto bana sisi tumejaliwa tumesoma psychology na kabla tukio halijafanyika huwa tinaanza kuangalia maneno waliyokuwa wakiongea watu na trend ya matukio mwishowe tunaangalia namna mnavotaka kubadili ukweli kuwa uongo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Hapo ndo tunaenda sawa kaka isiishie wasiojulikana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Sipingani na wewe bro kila mtu ana mawazo yake na naheshim mawazo ya mtu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom