Kweli nimeamini wafuasi wengi( si wote) wa chadema ni MAMBUMBU, na hawa ndio wenye ku-destroy absolutely image ya chama katika jamii japo kwa UMBUMBU wao hujiona wanajenga. Mtoa mada ameelezea kitendo cha Mr MP kudai ana ushahidi wa CD juu ya mikakati ipangwayo na moslems katika UDOM against...
Basically huwezi tenganisha New Zealand as a state and christianity as a religion, hivyo basi kwa muktadha huu hatuwezi kutofautisha ushoga na ukristo that's why kuna viongozi wa kikristo ni mashoga. Sasa kitu ambacho huwa najiuliza iweje dini ambayo hujidai kumuabudu mungu ijihusishe na ushogo...
Naona wengi wenu mnaleta comments za kimbwa koko tu bila kujua/kuzingatia uhalisia wa jambo. Kwanza hakuna mtu alokatazwa kuchinja wether moslem or non-moslem, na hili jambo jana limezungumzwa katika kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa chini ya RC, kimsingi ni kwamba mabucha ni ya...
Watu wengine wapumbavu sana!! Humu ni vijichambo tu au vifuata upepo ndio vinavyojifanya kudhihaki kuondoka kwa Shibuda wakati wenye chama vichwa vinawauma kwa kuona nepotism na regionism yao ndani ya chama itakavyodhihirika kwa kuondoka bwana Shibuda. WHAT A PITY CHADEMA!!!
Ngoja nitupe kadi yangu ya CDM kwa choo, maana naona sasa chama is going to die tena kifo cha panzi, what kind of this stupidity? Leo huyu aja jisifu na misifa ya kipuuzi kesho yule!!!!!!!!
Mzee Mohammed Said, Assalaam alayka warahmatullah, mzee wangu basically the truth imekuwa-exposed and we really thank tumeijua, hawana hoja zaidi ya kupiga lwange sasa wale walokupinga, ni dhahiri wameanza kuja na defensive arguments, ashamed of themselves, jazak Allah kheyr mzee wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.