Recent content by DJ Kassu

  1. DJ Kassu

    nimebaki njia panda kuhusu huyu binti

    Such a kid! You sound like a kid anyway. Nikuache na hii "Successful Marriage is not necessarily about loving each other, Marriage is all about Compatibility" Hakuna jipya huko nje, wanawake wa kuoa nowadays ni wakutafuta kwa tochi.
  2. DJ Kassu

    Kwa umri wake, nadhani huyu ndio mrithi wa Dkt. Magufuli 2025

    Ninatamani Mpango amrithi JPM
  3. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Una make sense sana mkuu. Asante sana, umakini ndo jambo la msingi. Japo bado naumiza kichwa inakuwaje mtu anaweza kutoa pesa kwenye akaunti yako bila kuleta notification, na baadae kublock kila kitu. How is that possible kwenye Banking System? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Kishkaji tu mkuu, mbona easy[emoji23][emoji23] ila una point[emoji119] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Tutamgombania mkuu, mwenye dau kubwa ndo atamdaka[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Probably, hatuwezi jua. Japo sijawahi shuhudia hilo jambo kwenye simu ya bishosti. Anything is possible though! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Asante sana cariha , inaonekana operation order yake ilikuwa so well organized. He's the mastermind! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Asante sana mkuu, tumeshareport Polisi tayari, wanaendelea na uchunguzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Mke wangu ni 'mwana' sana mkuu[emoji1]. So huo mwandiko usikuchanganye, it's totally different from her personality. Japo ushauri wako nimeupokea, utafanyiwa kazi accordingly. Shukrani[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    You've got a good sense. Nami nimefikiria hivyohivyo. Time will tell Sent using Jamii Forums mobile app
  12. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Shukrani sana mkuu[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Mkuu usidharau hizo hisia, ni kweli kabisa..hawajapata upenyo tu. Tuendelee kuwa makini. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Shukrani sana mkuu. Nimepokea ushauri wako, utafanyiwa kazi accordingly. Bless up! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. DJ Kassu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Hata mkeo mkuu[emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom