Kwa umri wake, nadhani huyu ndio mrithi wa Dkt. Magufuli 2025

Ni kweli itatucost sana.Nawaza KIJANA KAMA SABAYA kwa madaraka ya uDC na kutegemea kinga kutoka kwa aliyemteua lakini sio kinga ya Kikatiba anayafanya anayoyafanya kwa mkono wa Chuma ,Itakuaje apewe Urais kwa katiba hii tuliyonayo ambayo rais yupo juu ya kila kitu na hana sheria wala mtu wa kumzuia jambo lolote alimradi linampendeza machoni pale?? Mtu kama yule anaweza akaamka asunuhi akasema nileteeni Nyama ya Fulani ikiwa imeshachomwa na kuiva niile kama kiti moto na hakuna wa kumpinga mana atachagua kamati ya Roho Mbaya nchi nzima.
Hapana Vijana tumewaona walivyo na keep hemko kwa madaraka waliyopewa ya Ukuu wa Wilaya na Mikoa.

Kama wanaUwezo wajitokeze wenyewe kwa uwezo wao kuanzia huku chini na waonyeshe uwezo wa kuongoza ,kushawishi ,kuunganisha watu, kutumikia watu , upendo ,uvumilivu,uwezo wa kujenga hoja bila jaziba ,uadilifu wa kuzaliwa sio wa kujipendekeza,ukweli,ubunifu n.k.

Sio hawa vijana wa CCM na Chadema wanaounga mkono kuminywa kwa Demokrasia ili wao pekee ndio waendelee kuuaminisha umma kuwa hakuna wenye uwezo kuliko wao.

Tunachopenda kuona kwenye Taifa letu ni fursa sawa za Kisiasa ,kiuchumi, kijamii n.k. Wataonekana tu vijana na wazee na wale wa umri wa Kati wenye uwezo mkubwa wa kuongoza . Uongozi ni kipaji lakini kutawala ni kujikweza kupitia mabavu.
 
Huyo Makamba hiyo kiu yake ndio itamtokea puani, atakuja kuwa Lowassa mwingine.

Sidhani kama Magufuli anataka mtu wa sampuli yake, au hujamsikia alivyokuwa anamzungumzia Mwinyi wa Zanzibar jinsi alivyo hadi akapewa hiyo chance?

Inshort hataki wajuaji.
Seleman Jafo
 
Uchambuzi mzuri sana Mjumbe.

Tatizo naloliona kwa mtajwa ni kumezwa kwake na Microsoft.

Kingine ni kimeo cha mzee wake ndirubu hapo

Na mengineyo...

Haya ni matokeo ya kilichofanyika mwezi mmoja nyuma. Watu wamejikatia tamaa hawashughuliki na siasa wala na hata kutazama nini serikali wanafanya . Wanachokifanya wamesusa ili maisha yaendelee
 
Umenikumbusha miaka ile alipoamua kuwa waziri was hatimiliki. Kila siku hatimiliki na wasanii. Alipoingia mazingira ndo umaimuna wake ukaonekana. Hakuwa na lolote la kusema zaidi ya kujaribu kufukuza wataalamu wa NEMC ili aweka marafiki zake, ikamgeuka.

He is useless! Unatumia neno exposure bila hata kueleza maana yake ni nini kwa upande wako. Una maana gani kusema exposure? Usijesifia usenge wenu kama sehemu ya exposure.

Hivi hii crusade ya kumsema vibaya January Makamba inakuwa driven na nini zaidi ya wivu wa kitoto tu na roho mbaya zenu, unafikiri JPM au halmashauri kuu inaweza kuwekea maanani upuuzi wenu wa kuwakandia Watanzania ambao wanaonekana wana Mega Potential ya kuongozi Taifa letu in future.

Ukijaribu kufatilia kwa karibu wanao jaribu kumwaribia sifa January utakuta majority ni vijana wenzake hao ndio wanatoa skewed comments za kubuni tu. Halafu leo hii ndio tujidanganye kwamba vijana wana potential ya kukabidhiwa nafasi nyeti kama Urais wa Nchi nk, after all wengi wao hulka zao zina walakini sana especially kama walikuwa raised kutoka kwenye familia za ndio sivyo - ni balaa tupu!! Wanajiona ni omni potent wanataka kila mtu a feel presence yake, hatusemi mambo ya kutunga hapa - tumekwisha shuhudia wanavyo ji-conduct wakipewa vyeo wasivyo stahili /vikubwa.
 
Nadhani badala ya kuwalaani unaosema wanaomuharibia (siyo kumwaribia), wewe ungeonesha ni kwa jinsi gani anafaa. Siyo kila anayepigiwa kampeni na wapambe wake au yeye mwenyewe kuja hapa JF na pseudonym na kujitangazia niya, tumpe support. Kila mwananchi anataka apate the best, akipatikana mtu hovyo tunasikitika na kuamua kukaa kimya.

Huyu unayemtetea hamna kitu na ni haki yetu kusema kipindi hiki anachojidai kujitangaza. He is not a thinker. Ikitokea akawa rais, hatuna jinsi tutakaa kimya.
 
January hapewi elimu yake haijanyooka na hana reputable university level za UDSM ama Makerere kwenye CV yake. Na hata nafasi ya ubunge na uwaziri amebebwa bebwa sana.

Anayefuata ni muislam na wenye nafasi kubwa ni Jaffo, Hamis Kigwangala , etc
Dah hadi Kigwangalla!!!! Huyuhuyu anayeshinda twitter akitukanana na watu na kauli zinazofaa kutolewa na akina mwajuma ndalandefu?!

Kumbe ipo siku nami nitaukwaa uprezidaa wa hili taifa 'teule'
 
January hapewi elimu yake haijanyooka na hana reputable university level za UDSM ama Makerere kwenye CV yake. Na hata nafasi ya ubunge na uwaziri amebebwa bebwa sana.

Anayefuata ni muislam na wenye nafasi kubwa ni Jaffo, Hamis Kigwangala , etc
Kigwangala yupi? Yule wa midomo ya unyayo? Hapana, too childish! Lazima mtu awe alishaonesha uwezo wa kutosha ktk uongozi. Bahati mbaya wote hao wanaoitwa vijana hakuna yoyote aliyewahi kuonesha ubunifu ktk kazi yake.
Kigwangala, utoto na kujionesha
Januari, hakuna kitu kichwani na ni kukopi ya internet
Mwigulu, dah! mchumi wa mtihani
Jaffo, nayee kuoa tu bila ubunifu wa kazi yake
endeleeni ...........
 
Majaliwa ndio Rais ajae. Maana atajishusha temu yote hii. Akifokewa atakuwa anaomba msamaha hadi anapiga magoti, sema akirudi nyumbani anakwenda chooni analia kama mtoto.
Na wala hamuambiaa mtu siri yake ni yeye na choo tu
 
Makamba sr alipokua mkuu wa mkoa na ukatibu mkuu wa ccm,familia ilikua inafanya itakavyo kwenye dhulma,wizi,uonevu,kujilimbikizia mali n.k,leo mmoja wana familia aje kuchukua madaraka mkubwa kama ya urais tutajuta,tuombe sana isije kutokea hiyo kitu siku 1
 
Back
Top Bottom