Recent content by dizzle kiraka

  1. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari,Mimi mkazi wa kata ya Nyanga Bukoba manispaa.Eneo kubwa la mtaa wetu wa nyanga zahanati hatujafikiwa na huduma umeme.Sababu kubwa ni kuwa Huu mji umeanzishwa hivi karibuni na kwa sasa una takribani nyumba 107 ambazo watu wanaishi na ujenzi bado unaendelea. Tumefanya juhudi mbalimbali za...
  2. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Filimbi ya mwisho ipo Moja huo ndiyo mtego
  3. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Mliojibu 30 jipigieni makofi mmepatia
  4. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Team Destination - Naongea na Simi

    Team Destination wameachia video ya wimbo wao mpya unaitwa Naongea na simu.Na wasanii wapya Ila kwa uwezo Wa kuimba na kuandika nawatabiria kufika mbali katika tasnia hii ya burudani. Kutazama na kufownload video ya wimbo wao fuata link hii Ushauri,kuwapa moyo,kuwakosoa vyote vinahitajika nami...
  5. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hoteli gani Ngara ni nzuri kwa huduma ya chakula, vinywaji na Malazi?

    Ngara kuna hotel mpya kubwa na nzuri ina kila kitu kama restaurant ya kisasa jiko la nyama choma ,bar(VIP) na kawaida vyumba safi vya kulala vya bei nafuu vinaanzia 35000 na kuendelea ,club pia ipo ina baa ndani inaitwa Moonland nakushauri fika pale haiko mbali na mjini hizo hotel za kabanga...
  6. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Kupiga kura kwenye karatasi ya kura (Kunja karatasi kwa nje): Asante Mbowe

    Point!!! let us do that.....
  7. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Dit

    Unajitafutia kazi mwenyewe una swali lingine
  8. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Magufuli akishinda urais, maslahi ya wafanyakazi yatadorora

    Tutapiga mbizi ferry ikiharibika
  9. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Umefail kila kitu unaonekana kupeperusha bendera ni kuitangaza nchi unayotokea
  10. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Wivu mbaya baada ya kuipeperusha Tanzania hamieni Nigeria bus
  11. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbunge Nassari, Umefanya kazi iliyoshindwa na CCM kwa miaka zaidi ya 53

    Much respect Nassari Josh
  12. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Warundi wanapenda kuwa wakimbizi?

    Uvivu ndiyo unawakimbiza wanataka kula bure na kulala bila kodi nyarugusu pale pia unhcr walipeleka ulaya baadhi ya wakimbizi na kuwapa uraia wa nchi tofauti wanavizia channel kama hizo
  13. dizzle kiraka

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Taifa hatari Kuliko Yote Duniani

    Siyo kila unachosoma kina ukweli mengine ni tango pori mkuu
Back
Top Bottom