Recent content by dizle

  1. D

    Hivi mpaka sasa kuna mtu mwenye akili anaamini kuwa Lowassa atakuwa Rais?

    Kuna jipya lipi aliloongea magufuri kwani mkuu Hizo si nyimbo zenu za kila kampeni Vipaumbele haziwezi kuwa 25, hiyo inaitwa kurusha jiwe gizani
  2. D

    Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Mkuu bora rais awe kilaza lkn watendaji kazi wake wawe professionals na vichwa! Nakumbuka pia Mr President amesema hayo juzi tu... Siasi ipigwe ktk mambo ya siasa ila ukiingia kwenye mambo ya kitaaluma/sayasi siasa ni mwiko (sumu). Sidhani kama mswati anaelimu kubwa.
  3. D

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    Hawa watu wanahusika..... Ila kwa masilahi ya nani ndio tatizo. Sidhani kama future generation inakuwa considered.... With ol these resources, 50 years of independence bado tunategemea misaada na hawa jamaa wapo... Idara ya usalama ilitakiwa iwe neutral... isibezi kwenye any political...
  4. D

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Napata wasi wasi na kila kitu kinachoendelea in this country... ni kama vile vitu vipo planned.. Na hii kuzingizia wanawake wanaweza ndio silaha yao... wapi bunge? Au ndio makusanyo ya 2015?.. Nahofia kodi zetu.....!!
  5. D

    Lowasa aukana urais

    Utendaji ktk siri kali hii uliishia enzi za Lowassa. Saiz ni maneno tu... wapigwe tu... Halafu unatengua uwaziri wa watu wanne wakati wew ndio ulitoa go ahead.... Mtazamo tu....!
  6. D

    Lowasa aukana urais

    Huyu jamaa pekee atafanya kitu akiwa rais.. Wabunge tuweke vijana... sio hawa wanaoongoza kwa mazoea
  7. D

    Rais amteua ISSAYA MNGULU kuwa DCI

    Kyova alikuwa mtendaji mzuri akiwa kule bush.. toka amepewa huu wadhifa wa sasa ni v...ko tu!!! Tafiti inaonyesha ukipanda cheo huko kwenye sekta zenu uwezo wa kufikiri na kufanya kazi kutokana na maadili ya kazi unaenda mpaka sifuri kama sio negative.. Kuna uongo mwingine hata zuzu anauona lkn...
  8. D

    Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Waiting for that list... Wote ni mashahidi hapa kuwa utendaji uliishia kwa Lowassa, siku hizi dawa ya changamoto sio kutatua changamoto ila ni kumbana mtoa changamoto.. Na siasa kibao kwenye mambo yasiohitaji siasa...
  9. D

    Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Ntamchagua mtu mmoja tu... Asipo kuwepo kwenye list, sichagui Rais 2015.. LOWASSA.. the only kiongozi aliyejiudhuru Tz hii for good! Sina ukaribu nae na sina masilahi binafsi..
  10. D

    Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

    R.I.P bro! Hv watched the video, soo sad indeed!
  11. D

    Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

    Kama angevaa vizuri muda huu mngekuwa mnaongelea harusi ya p... Lkn saiz kila mtu hata nigeria wanamdiscus yeye... Huyu dogo ubongo wake unafanya kazi haswaaaa!!!
  12. D

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Msiweke politics in people's lives (watanzania), elimu, afya... Fanyeni ujinga wenu huko huko kwenye chama chenu... Ikija kwenye mambo ya msingi watu kupigwa na kuumizwa, wengine kuuwawa (mwangosi)... lazima wahusika wapatikane na wawajibishwe responsibly(sio kwa propaganda) At least kama kweli...
Back
Top Bottom