Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,726
Ndugu zanguni
Leo hii jeshi la polisi limepata mkuu mpya wa upelelezi Tanzania ambaye ni Issaya Mngulu
Taarifa hizi ni faraja kwa wapenda amani kwani tumechaguliwa jembe la kazi
Nimefanya kazi na Mngulu miaka mingi na hakuna kingine kilichomfikisha hapa zaidi ya utendaji kazi bora.
Soma hapa taarifa kamili
MICHUZI BLOG: news alert: JK APANDISHA VYEO MAAFISA WA POLISI, AFANYA UTEUZI WA NAFASI ZA MADARAKA
Umefanya naye kazi ukiwa na cheo gani? Maana sio unakuwa kwenye lindo Iringa halafu unasema umefanya kazi na mtu aliyekuwa kwenye nafasi ya kimaamuzi Dar.