Recent content by Diwani Mtarajiwa

  1. D

    GE2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    Ismail Aden Rage-Tabora mjini, Husen Bashe Nzega,Rostam Aziz Igunga, Samuel Sita Urambo Mashariki,seleman Zed Bukene,Mfutakamba Igalula,Shafin Suma tabora kaskazini( kwa Msekela)
  2. D

    GE2010 Napigiwa kura leo!

    Waheshimiwa, nilikuwa nakusanya matokeo ya wabunge kibaya zaidi Internet cafe zilipo jirani zinafungwa saa 2.00 usiku. matokeo ni mazuri sana nimeshinda kwa kishindo nasubiri vikao vya uteuzi kwa mujibu wa taratibu zetu za CCM! anayenifuata kwa matokeo nimemzidi kura 320 so its over
  3. D

    GE2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    Naam waungwana, matokeo rasmi ya jimbo la nzega kwa wagombea wawili waliokuwa wakichuana sana ni kaam nilivyoandika hapo juu, japo najua kwa kufanya hivi nitaporomoshewa matusi ya kumwaga ila ukweli ndio huo nami binafsi nimeongoza kwa kishindo kura za maoni nafasi ya udiwani
  4. D

    GE2010 Napigiwa kura leo!

    Mutu! Niombee nishinde! Kilichonituma kugombea ni kutumia haki yangu ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa na zaidi ni kushiriki katika jamii kuleta changamoto kama kijana ya kuleta maendeleo katika kata. Mwisho ni kuhakikisha naisimamia na kuitekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka...
  5. D

    GE2010 Napigiwa kura leo!

    Waheshimiwa wana wa nchi! nilipoandika jina langu Diwani maana yangu ilikuwa ni maandalizi ya kugombea udiwani katika kata moja iliyopo mkoani Tabora na sasa nimetoka kukagua vituo vyote naona mambo yanaenda sawa. Naomba Dua na sala zenu inshalla nitawajulisha jioni uwezekano wangu wa kushinda...
  6. D

    GE2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    Heshima mbele wakuu! inawezekana kabisa mimi ni shabiki wa Bashe, inawezekana kabisa nimetumwa na RA/EL and what ever haki yangu ya kushabikia mtu au kitu haipokonywi na mtu au kitu chochote kama vile watu ambao wangependa leo CCM isambaratike na ife kabisa wakati wengine tukikesha tukisali...
  7. D

    GE2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    Jamani hatupaswi kuwa na hasira hapa bali nimepost kuwapa taarifa no matter nimetumwa au la! the issue is ni lichokisema ni kweli au nimetoa wrong habari? niwape habari zaidi ni kuwa baada ya selelii kuzomewa sana jana katika kikao cha tathmini jioni selelii amelalamika kwa viongozi juu ya hali...
  8. D

    GE2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    pamoja na upambe nilikuwepo kwenye mkutano, ni kata ya Ndala baada ya kutoka Budushi na sasa hivi tumefika kata ya puge kata aliyozaliwa selelii watu wamelizunguka gari la Bashe kila mtu anataka kumpa mkono, hadi sasa selelii bado hajashuka ndani ya Gari nadhani anaongea na simu
  9. D

    GE2010 Nzega, Urambo na Igunga vipi?

    Urambo SS anapambana vikali na Ally maswanya, Nzega selelii amebanwa vibaya na Husen bashe kiasi jana selelii alizomewa sana hadi akashindwa kujieleza, Igunga RA anapeta
  10. D

    GE2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    Kinyang'anyilo cha uchaguzi wa kura za maoni mwaka huu katika jimbo la Nzega kimeanza kwa vibweka baada ya mbunge wa jimbo anayemalizia muda wake Lucas L selelii kuzomewa mwanzo hadi mwisho alipopewa nafasi ya kujieleza huku wananchi wakimzomea kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mkutano huku wakipaza...
  11. D

    Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Hongera Dr ka ufafanuzi mzuri ila nadhani CCM wameanza zengwe lao labda nadhani wana mtuwa maana umegombea ujumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kuziba nafasi wazi ya Surender baada ya yeye kuwa mchumi nasikia jina lako limechinjiwa baharini sasa hii ni hatari kweli kweli naanza kupata shaka hata...
  12. D

    Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Dr bado una safari ndefu sana nimepata taarifa toka Nzega kuwa una kila sifa ya kuwa Mbunge isipokuwa programu zako ndizo zitakazo kufanya usifike popote labda kama una tangaza jina tu 1. Kampeni meneja unayemtumia ana sifa za kula ada na michango ya klabu mbali mbali za mpira kule Nzega...
  13. D

    Makamba kuunguruma Igunga Jumapili Hii !

    Thats Life Bro/Madame, Ukisema wa nini wenzio wanafanya matambiko ili wampate, so kula ugali na maharage ukalale
  14. D

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Chama cha mapinduzi mkoa wa Tabora leo kimefanya maandamano makubwa ya kumpongeza Mh Jk katika kile walichosema ni hotuba yake nzuri iliyojali watanzania wote Aidha katika maandamano hayo yaliyokuwa na mabango yenye ujumbe mbali mbali wana ccm hao walisema kuwa Jk kawaonyesha wa Tanzania kuwa...
  15. D

    Maswanya kusimikwa Kamanda wa Uvccm Jimboni kwa Sitta!

    Umoja wa vijana wilayani urambo jumapili ya wiki watafanya shughuli nzito ya kumsimika bwana Ally Maswanya kuwa kamanda wa vijana wa ccm wa wilaya kwa kipindi cha miaka 5 ijayo, bwana Maswanya ni mkurugenzi wa Zain kanda ya Ziwa na habari zisizo rasmi zinasema kuwa Bwana Maswanya ni mmoja kati...
Back
Top Bottom