Napigiwa kura leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napigiwa kura leo!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Diwani, Aug 1, 2010.

 1. D

  Diwani Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa wana wa nchi! nilipoandika jina langu Diwani maana yangu ilikuwa ni maandalizi ya kugombea udiwani katika kata moja iliyopo mkoani Tabora na sasa nimetoka kukagua vituo vyote naona mambo yanaenda sawa. Naomba Dua na sala zenu inshalla nitawajulisha jioni uwezekano wangu wa kushinda ni kati ya % 65 hadi %72
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tukuombee ushinde au ushindwe ?
  Tupe kilichokusukuma kutaka udiwani na itikadi zako tujue tuombe lipi,la ww kushinda ama kushindwa.
  Hope your in good side,I pray so.
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Upo kundi la Bashe?
   
 4. D

  Diwani Member

  #4
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mutu! Niombee nishinde!

  Kilichonituma kugombea ni kutumia haki yangu ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa na zaidi ni kushiriki katika jamii kuleta changamoto kama kijana ya kuleta maendeleo katika kata. Mwisho ni kuhakikisha naisimamia na kuitekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010-2015.

  Nagombea kupia CCM na ndg SELOUS mimi sipo kundi lolote ila nipo kundi la CCM.

  Once again naomba sala na dua zenu.

  Bye for now!

  Nitarudi jamvini kati ya saa 12 jioni na saa moja.
   
 5. Tuntu

  Tuntu JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kata yako ipo kwenye jimbo gani?usisahau kutueleza yatakayojiri hata kama yatakuwa ni mabaya kwako, aliye bora na ashinde.
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  chichiem huyu!!sijui anatafuta nini huko!na ushindwe kabisa!
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Pilipili usiohila inakuwashia nini?
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  MZEe KWA NN UOMBEWE?, KAMA SERA ZAKO ZIMEELEWEKA NA WATU WAKAKUKUBALI KWA NINI USICHAGULIWE HAYA SIO MAMBO YA KUOMBA,
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Mimi nakuombea upite mchujo huu wa CCM, lakini nadhani October ndo itakuwa mwisho wa safari yako kwani kuna kijana machachari wa CHADEMA anagombea pia kata hiyo (kama ni kweli ya huyo ndg. Selous) na kwa vyovyote vile atapita tu. Halafu kumbe hapa JF unatumia jina hili !!
   
 10. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mzee wetu Diwani ulituahidi utarudi kama Yesu alivyotuahidi hatujasahau ahadi ni deni, mambo yakoje huko, samahani lakini kwa kukuamusha najua una machungu na uchovu wa kampeni.
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha... Nahisi hali mbaya lol
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Diwani vipi bado wanajumlisha ?
   
 13. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimefurahi sana kwa kweli. Nimecheka sana.
   
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Itakuwa anasaini matokeo!
   
 15. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Huenda vituo viko mbalimbali sana, wanasubiri karatasi ziletwe makao makuu ya Kata
   
 16. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Msikimbie tu akirudi na ushindi wa kimbunga.
   
 17. D

  Diwani Member

  #17
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa, nilikuwa nakusanya matokeo ya wabunge kibaya zaidi Internet cafe zilipo jirani zinafungwa saa 2.00 usiku. matokeo ni mazuri sana nimeshinda kwa kishindo nasubiri vikao vya uteuzi kwa mujibu wa taratibu zetu za CCM! anayenifuata kwa matokeo nimemzidi kura 320 so its over
   
 18. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unajuaje siili? kwanza we are all suffering from the works of chichiem, leo unaniambia upumbavu wako hapa wa pilipili?toa ufala we!!of course this concerns me!mpumbavu kabisa we!
   
Loading...