Recent content by ditrich mbilinyi

  1. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Kwanza TSC ipo chini ya Mkurugenzi?wanawajibika kwa Mkurugenzi?kuwa kwenye jengo la Mkurugenzi hainamaana wako chini yake.Hawo pamoja na udhibit ubora hawawajibik moja kwa moja kwa Mkurugenz,Wanawajibika kwa Katibu mkuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Kwangu mimi siombaya historia ikasomwa kwa wote ila combination ya HGL&HKL iondolewe.Language wanafunzi watasoma kwenye KLF,na History itasomwa kwenye HGE.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Hivi ni kweli nchi hii tunaweza kukosa ndege au helicopter za ambulance za dharura mpaka tuazime nchi nyingine?

    Serikali inapotangaza kununua ndege wew unakuwa mmojawapo kutukana
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bashe umekosea kwenye Food Security!

    Bashe nimemwelewa sana kunakipindi nilikuwa na gunia 100 zenye debe 10 kila gunia ikauza na kupata milion 2.kama hujalima huwezi ukachukulia kwauzito kauli ya bashe.Mnaolalamika sana mpo mjini hamna hata shamba
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Kutoka bagamoyo hadi dar nikilometa chache sana.Ujengaji wa bandari kubwa ya bagamoyo itasababisha bandar ya dar pamoja na tanga kufa.Na tukumbuke mradi wa bagamoyo siomsaada ile ni investment yao kwa gharama yao.Baada ya kujengwa lazima itakuwa chini yao kwamiaka ili irudishe pesa yao na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

    Ninachokiona ndani ya sakata hili,haina ubishi CAG nilazima ajiuzuru Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tukio litakalopima urais wa Magufuli

    Naona mnaanza kuweweseka halafu bwanamkubwa niakili kubwa haitatokea akashindwa,nimtu makini mno aliyewahi kutokea Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Nadhani sasa nivyema tukafanya vitu ambavyo wazungu hawataki labda itasaidia maana vitu vyote tulivyovifanya vinavyowapendeza havijatusaidia
  9. D

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuamrisha watendaji wa kivuko cha MV Nyerere wachukuliwe hatua kali wakati walitoa tahadhari kuwa kivuko hicho kibovu hawakusikilizwa?

    Wew uliyeleta hii mada inaelekea umeandika kishabiki sana,kwanza inaelekea hata huyo mbunge hukumsikiliza alikuwa anaongelea nin,nasababu ya ajali inaelekea huijui chanzo chake nin!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Paper Tigers wanatushauri tususie chaguzi zijazo ili CCM wapite bila kupingwa

    Kitu ambacho napata shida kumuelewa kabisa mheshimima nikauli yake yakwamba nimesikia kwenye mitandao! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kufufua ATCL ni shabaha yetu sote Watanzania. Tunapishana kwenye mbinu za utekelezaji

    Unadhani angekopa zito angesema raisi kafanya vizur!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

    Mbona wewe unamzidi raia wa Kenya kiswahili
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi vyeti vya walimu wa private schools kutakiwa halmashauri imekaaje

    Inawezekana kunawatu wapo serikalin ila wanatumia vyeti vya watu ambao wapo private.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rais Robert Mugabe ahutubia taifa, akataa kujiuzulu na kasema ataongoza mkutano mkuu wa chama chake mwezi ujao

    Kitu ambacho watu hawaelewi,huu mpango amesuka yeye mwenyewe ili kummaliza mkewake kisiasa,maana alikuwa ni hatari sio kwataifa tu hat yeye mwenyewe
Back
Top Bottom