Hivi vyeti vya walimu wa private schools kutakiwa halmashauri imekaaje

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Juzi jamaa yangu ambaye mwalimu Wa English medium amesema jumatatu wapeleke vyeti original vya sekondari,degree na diploma kwani vinahitajika serikalini

Mwenye kujua dhumuni la agizo hili atujuze.

Asante!
 
Ni sahihi kabisa kwani kuw private school ndio serikali isiwasimamie? wizara ya elimu ina jukumu la kuhakikisha watanzania wanapata elimu bora ndio maana hata mtihani ni wa serikali, mtaala ni wa serikali, hata mawakili wa kujitegemea judge mkuu ana mafille yao. Kama mlifikiri kwenye sekta binafsi ndio sehemu ya kujificha magumashi sasa kimenuka
 
Uzuri ni kuwa kule top 10 wanaingia haohao mnaowasema wanafundishwa na walimu ambao hawana vigezo, na kule mkiani wanakaa ambao wanafundishwa na walimu mnaowaita wenye vigezo
 
hospitali za private wanaofanya vipimo vya wagonjwa wahakikiwe vyeti.
Huwezi ku practice kuwa Dr bila ya kuwa na kibali kutoka Tanganyika Medical council ambayo iko chini ya wizara ya afya .na hospital ni kosa kukuajiri bila ya kuwa na hicho kibali na kibali kinakuwa renewed kila mwaka.
 
Swala la uhakiki wa vyeti halina u privatell wala gvt maana kinachoangaliwa ni uhalali wa vyeti katika kutoa huduma nyeti kama elimu na Afya na nyinginezo.
 
Uzuri ni kuwa kule top 10 wanaingia haohao mnaowasema wanafundishwa na walimu ambao hawana vigezo, na kule mkiani wanakaa ambao wanafundishwa na walimu mnaowaita wenye vigezo
Wewe unafahamu lakini. nani amesema private school wanaosomesha hawana vigezo..hivi umeangalia private school zote matokeo yao? Ni jukumu la wizara ya elimu kuhakikisha kila mwalimu anaesomesha ndani ya Tanzania ana vigezo na sifa za kusomesha na wizara ya elimu inasimamia shule zote na siyo za serikali tu na inaonyesha uwelewa wako ni mdogo sana
 
Aiseeh huko lazima waondoke na vichwa kuna ambao nawafahamu wana makandokando mengi...

Ngoja nitege sikio tu
 
Wewe unafahamu lakini. nani amesema private school wanaosomesha hawana vigezo..hivi umeangalia private school zote matokeo yao? Ni jukumu la wizara ya elimu kuhakikisha kila mwalimu anaesomesha ndani ya Tanzania ana vigezo na sifa za kusomesha na wizara ya elimu inasimamia shule zote na siyo za serikali tu na inaonyesha uwelewa wako ni mdogo sana
Hata wakikuta ni form four au form six wawape muda Wa kusoma kama walivyopewa waandishi Wa habari
 
Wewe unafahamu lakini. nani amesema private school wanaosomesha hawana vigezo..hivi umeangalia private school zote matokeo yao? Ni jukumu la wizara ya elimu kuhakikisha kila mwalimu anaesomesha ndani ya Tanzania ana vigezo na sifa za kusomesha na wizara ya elimu inasimamia shule zote na siyo za serikali tu na inaonyesha uwelewa wako ni mdogo sana
Ewe kada nwenye uelewa mkubwa kuliko wote duniani umushindwa kuelewa hata kuelewa hizo nguvu wanazotumia kuzibana private schools wangetumia nguvu hizohizo kuzibana na shule za serikali yale masifuri pale unguja yangepungua,

Kwa kuwa wewe ni mwenye uelewa mkubwa sana umeshindwa nini kuelewa kuwa kuwa shule za private zikitoa masifuri ndio zimeshajifia zenyewe kwa kokosa wateja? yan private watoe masifuri yote miaka miwili mfululizo hiyo shule itageuzwa mabanda ya kufugia kwale na kupandia uyoga

Au uelewa wako leo umefunikwa na zulia la manjano na kijan kibichi!!!!
 
Unaongea kitu gani wewe...hata hufahamiki na hii verbal diarrhea yako
 
Nafikiri kama sekta nyingine kama afya ukiwa na cheti feki ni hatari sana
Wacha wachunguze lakini solution ya kudumu katika haya yote ni kuwa na Elimu bora kwa nchi sio bora Elimu
 
Back
Top Bottom