Recent content by Disney2

  1. Disney2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Jiunge CHAPUTA kwanza utakutana na wajinga wenzio
  2. Disney2

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

    Mbona mmekua wasemaji wa chadema ghafla😂😂
  3. Disney2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Nafikili wakatianazaliwa nesi alimuangusha bahati mbaya anadongokea kichwa so zimesheki kichwani
  4. Disney2

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

    Unawaza mbali,kuna Mwamba anaitwa Diadora nyuma ya Jayruty. Kaeni chonjo
  5. Disney2

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa Jay Ruty Kwa Simba utuamshe Yanga

    Umeshatondora Lubise?
  6. Disney2

    JamiiForums Tanzania Kuwadanganya wana simba hata hutumii nguvu nyingi

    Nyie tulizeni vitobo vyenu
  7. Disney2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    Maisha gani wewe Kobaz,mmepewa shule na majemgo bado yapo mmeshindwa kuendesha kazi kufuga majini tu wehu nyie
  8. Disney2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    Acha Uzwazwa wewe yaan muuze majengo mliyopewa msaada majenge sehwm nyingine?
  9. Disney2

    JamiiForums Tanzania Jamani Alie na uzoefu wa kilimo Cha migomba aniambie vitu gani vyakuzingatia

    Aisee kazi ipo,ila kuna siku watakumbuka hizi nyuzi
  10. Disney2

    JamiiForums Tanzania Jamani Alie na uzoefu wa kilimo Cha migomba aniambie vitu gani vyakuzingatia

    Nyuzi za maana hakuna wachangiaji
  11. Disney2

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Hujupata majibu mkuu?
Back
Top Bottom