Udhamini wa Jay Ruty Kwa Simba utuamshe Yanga

Wewe kweli ni mtu wa mpira

Hizi timu za Kariakoo zinawaingizia hela nyingi sana baadhi ya Wajanja wanaozitumia
Huyo J Rutty amesoma upepo
Kampuni yake itakuwa maarufu
Kabla hatukumjua j Ruty ila Sasa kila mtu anafatilia hii campun
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Hapo kwenye uwanja wakifanikiwa kujengewa, halafu Injinia Hersi na GSM wakaendelea kutikisa tu masikio yao; hakika itakuwa ni fedheha kubwa!

Haiwezekani timu kama Azam, KMC, na Singida Big zimeanzishwa juzi tua hapa! Eti leo zinamiliki viwanja vyao! Halafu ukija kwa Yanga na simba zilizoanzishwa mwaka 1935 na 1936, eti hazina viwanja vyao vya kucheza mechi na pia kufanyia mazoezi!

Huu ni uzembe usio vumilika. Viongozi wa hizi timu mbili kongwe wanatakiwa wabadilike na hivyo wajifunze kwa timu changa kufanya maendeleo ya msingi.

All in all, nawapongeza simba kwa huo udhamini mlio upata. Muhimu tu kusiwe na ubabaishaji ndani yake. Mafanikio yenu, ni mafanikio ya mpira wa Tanzania.
 
Wamejitahidi, kiukweli kuna mambo Yanga hayako vizuri. Mojawapo ni hilo la jezi. Tupo kimya sababu timu inafanya vizuri.
Haliko vizuri kivipi? Mbn klabu inanufaika Tsh 1,300 kwa kila jezi moja itakayouzwa na mzabuni mkuu GSM ambaye pia ni mfadhili anayetoa mamilion yake bila kujifikiria ili tu wanayanga wafurahi
 
Huyo J Rutty amesoma upepo
Kampuni yake itakuwa maarufu
Kabla hatukumjua j Ruty ila Sasa kila mtu anafatilia hii campun
Huenda hiyo itawasaidia kwenye kuongeza mauzo ya Kampuni yao

Hata hivyo, Simba hii ambayo Kila Mwaka inafanya vizuri kimataifa ni halali yake kuijaza mpunga mrefu hivyo, otherwise inaweza kuja Kampuni kubwa nyingine ikabeba hilo deal
 
Kumbe unafanyaga makusudi, mbona Leo akili yako imetulia sana
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
mtani Shadeeya una maoni gani??
 
Subiri ahadi zitimizwe kwanza. Wabongo kwa maneno tushawazoea.
 
Wakati unaandika hapa wenye akili mlikuwa wa3 ila baadae ukajitoa tena kwa wenye akili.

Hivyo wamebaki wawili.
 
Back
Top Bottom