Recent content by dismynder1

  1. dismynder1

    my Short Intro

    hafi huyo atavumilia maana ndio ukaguzi wenyewe huo
  2. dismynder1

    My HaiR

    hahahaaa!!kidume huyo kuna wadada wanazimia nywele mweeeh!!
  3. dismynder1

    Hawa ndio wageni wa CC!

    hahahaaaaa!!mi thithemi staki ugomvi na wageni!!
  4. dismynder1

    Hawa ndio wageni wa CC!

    mama toba roho yangu Eli79 kumbeeeee?!!nikae mbali kuepusha damu yangu kunyonywa mie khaaa!!
  5. dismynder1

    my Short Intro

    nipo hapa pacha nina bisibisi tatu,beleshi,panga kisu cha kukunja na spana namba nane tayari kwa kazi!!
  6. dismynder1

    Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    hahahaaaa!!hiyo out yako unaweza kuja kuweka tangazo huku bure nakuogopa mi chitaki kuolewa bana,kwanza we bahili kabisaaaa!!
  7. dismynder1

    Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    mungu kwani anakulaga ugali basi ajibebe na gonjwa lake atajiju!!
  8. dismynder1

    Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    gugumia kichinichini wasiskie eti baby siku moja khaaaa!!maajabu!
  9. dismynder1

    Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

    aiseee unajua kuchagua vizuri sana kama mmeshadedicetiana majisong lol!!
  10. dismynder1

    Hawa ndio wageni wa CC!

    hahahaaa!!pacha unamtisha mgeni passion lady yupo hewani nicheki huko!!
  11. dismynder1

    Mwanamke wa kirangi

    si wanatusingizia warangi sifa mbaya ambazo hatuna khaaa!! watoto kujaaliwa ishakua tabu!!
  12. dismynder1

    Mwanamke wa kirangi

    hapo sasa bonge la muongo atufahamie wapi sie watoto wa watu?
  13. dismynder1

    Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    hizi tamaa hizi zinatuua heri ya yule hohe hahe alikua na mapenzi ya kweli dah!!
  14. dismynder1

    Kwa nini wasichana wanamka wakiwa katika umri wa miaka 27.

    olewa mwaya, ndoani ukiwa na umri mdogo raha sana!!
  15. dismynder1

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    unadanganywa wewe huyo ni my wife wa figganigga wewe kakwambia hajaolewa c ni hatareeee!!
Back
Top Bottom