Recent content by discount supermarket

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natamani nipate mume mwenye hela ila asiwe na kibamia 2020

    Maombi yako Ni gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi kabla ya tendo wanaenda haja kubwa

    Huwanajiuliza ni kwanini mara nyingi nimeona nikiingia na wanaume chumbani kufanya tendo lazima wajisaidie haja kubwa, sio kwangu tu wanawake wengi wanakiri hivo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

    Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie , Mwingine nimeshamseti...
  4. D

    JamiiForums Tanzania MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

    Inawezekana kabisa.nina rafiki wa kiume mzuri tu .simtaki kimapezi same to him Tuko mabest sana
  5. D

    JamiiForums Tanzania Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

    Maswali kila Kona,utazaa lini? Beba mimba mwezi huu? Kuzaa ni kudra za Mwenyezi Mungu,kila mwanamke anatamani kuwa na mtoto.ila mkiona mtu hajazaa jua muda wake Bado hata Sara wa ibrahimu alizaa na miaka tisini.msilazimishe watu kuzaa eti umri unaenda wakati kulea hamtaki.Gods time is the best...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni Kumpenda

    Kama humpendi humpendi tu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi kuja kupata marafiki hapa

    Hapana .nimeacha Kwanza najishughulisha na biashara kwanza
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    Yes sir 17,00 per ctn
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    Sijapata nafasi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    That's the truth
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    Sijishughulishi na mambo hizo hata
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    Hapana .Sina muda boss
  13. D

    JamiiForums Tanzania Una cheti nina mume

    Kama mwanaume hakupendi na unashabikia cheti za ndoa huo Ni utumwa
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    Sina hata mmoja
Back
Top Bottom