Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

Jul 7, 2019
48
144
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
 
Una roho ya ajabu haiwajawi kutokea.
Move on bibie.
What goes around will always come back around.
Unapata furaha gani kama ukimfanya mtoto wa huyo ex wako a fail akawe mzigo.
Unakoenda huko utapata watoto na uzao wako utafanyiwa hivyo hivyo.
You act kama wewe huna mapungufu yako waliyokuvumilia hao ex's wako.
Grow the f**k up.
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Yani unamkomoa mtu mwingine kwa kutumia mwili wako mwenyewe
 
Unakumbuka siku uliyokuja kunitembelea kazini saa 8 ( ya mchana) kuelekea saa 9 nilikuambiaje? Hiyo roho uiache! Changamoto nyengine zinakufanya muda mwengine maisha uyaelewe zaidi na uache roho ya kisasi.

Ila mengine umeongezea chumvi. Mimi ni yule rafiki yako.
 
Depression mbaya sana,haya ndo madhara ya kuingia menopause bila kujiandaa psychological.unaiona 38/39 hii hapa unategemea utakuwa na utulivu wa nafsi?

Na bado kwa mawazo yako mgando dizain hii utagonga 50 hata neno ndoa japo kwa maneno ya uwongo hutasikia
 
Roho mbaya yote hii na chuki za kutisha umezitoa wapi!? Kwenu ni chato? Jichunguze and always remember that KARMA IS A BITCH.

Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Kazi njema ila dunia duara chukua taadhali kwa ajili ya ndoa yako
 
Ninayaona maisha yako unavyoyafupisha, niamini kifo kinakunyemelea, hayo yote utakayoyatekeleza ukifika kwa mtu wa mwisho kifo kitakuwa mbele yako!
 
Back
Top Bottom