Recent content by Discory

  1. Discory

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Hahaha
  2. Discory

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Juma Nkamia ni kuua uhuru wa vyombo vya habari - Meena

    Mungu wangu JK tuli muonya lakini
  3. Discory

    JamiiForums Tanzania Lema: Posho si dhambi, dhambi ni posho inapokosa utu

    Mungu awa Rehemu
  4. Discory

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanzisha mgogoro na China - Yamshitaki balozi wake Umoja wa Mataifa!

    Nape ni janga la CCM na CCM ni janga la taifa
  5. Discory

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Assed fools
  6. Discory

    JamiiForums Tanzania Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

    Niko tayari kufa kwa ajili ya Nchi yangu Rwanda hawawezi kutunyima Usingizi
  7. Discory

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Huyu si alikuwa na kifungo cha nje?
  8. Discory

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Long way to Go!!!!!!! List Yao ni 22 so bado sana mtasikia mengi Zadi
  9. Discory

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni...

    Huu ni ujinga sana kama eameshauza huko mtaani na watumiaji waliodhurika watasaidikaje? Tumezoea sasa haya madhirika kuja na matamko Yao mepesi tuu kama Wa TFDA kuhusu mafuta ya Ubuyu Mnakuwa wapi siku zote? Haya yenu huongelewa kwa Chuki baada kuto tolewa 10%????? Kwanini hamfanyi...
  10. Discory

    JamiiForums Tanzania Serikali yafunga migodi 4 Mererani

    Ni majanga eroo dah
  11. Discory

    JamiiForums Tanzania yupi kati ya hawa ana nguvu za kiume?

    Mmmmmh
  12. Discory

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kaka yangu mkubwa, she is in love with me

    Nakupa kisa cha ukweli Mimi hali hii iliwahi kunitokea sikukubali ujinga wake lakini akawa anafanya makusudi kabisa Anaenda kukutana Vijana wengine huko halafu akijua sasa muda kurudi nyumbani unakaribia ana nipigia simu Shem uko wapi? Nipo hapa barakuda unaweza kuja? Naenda nikifika hapo...
  13. Discory

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Siamini ninachosoma hapa yaani ni kweli ccm wameangukia pua??? Hii ni sign mbaya sana kwa 2015
  14. Discory

    JamiiForums Tanzania IGP Said Mwema aongezewa mkataba

    Tanzania inanukia Syria sasa Ili kuwa hivi hivi kwa general mwamunyange
  15. Discory

    JamiiForums Tanzania Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

    Tupitishe sheria mpya ya kujiunga na Jeshi la Polisi Yaani kila Mwombaji awe amemaliza kidato cha Sita na Awe na Div|| Hii utatuwekea heshima kubwa kwa Taifa letu Maana Mtu Msomi hawezi kufanya huu ujinga Sishangai wanayofanya Polisi Leo maana kama Alifail form four ndo akaenda huko...
Back
Top Bottom