yupi kati ya hawa ana nguvu za kiume?

yupi kati ya hawa ana nguvu za kiume?

ndinasyo

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
67
Reaction score
16
habari zenu wajumbe! Kuna siku tulikua tunabishana kuwa yupi ana nguvu za kiume kati ya
mmoja kuhimili muda mrefu km saa moja bila kutoa manii na
mwingine kila akiweka tu bao anaweza kupiga hata 7 kwa ucku mmoja,toa maoni yako.
 
Situations zote hizo mbili hakuna hata moja Iliyo sahihi...
Kwa kifupi mlikua mnabishana kwa kitu msichokijua na mkaibua mjadala mpya kabisa...
Kwa kifupi tu, mwanaume mwenye uhanithi ni yule ambaye uume wake hauna uwezo wa kukakamaa pindi anapopata hamu au hisia la tendo la ngono...
Sasa uwezo wa kutosimamisha uume ndio huitwa upungufu wa nguvu za kiume.
 
toba!! eti huu nao ni uzi wa kujadili!!! 🙁
 
Kama ndo mambo yanayoongelewa na watanzania haya,basi maendeleo tutabaki kuyasikilizia kwa wakenya tu.
 
Mwenye kupiga mabao kama bata maana anatoa spermatozoa wengi.
 
sasa ulifikiri nguvu za kiume ni idadi ya goli au muda wa kusugua tundu? Kwanza how old are you?
Mapenzi si bao nyingi au chache, mapenzi sio kusugua muda mrefu au mfupi . Mapenzi ni kuridhishana kati ya wausika wawili.
 
Situations zote hizo mbili hakuna hata moja Iliyo sahihi...
Kwa kifupi mlikua mnabishana kwa kitu msichokijua na mkaibua mjadala mpya kabisa...
Kwa kifupi tu, mwanaume mwenye uhanithi ni yule ambaye uume wake hauna uwezo wa kukakamaa pindi anapopata hamu au hisia la tendo la ngono...
Sasa uwezo wa kutosimamisha uume ndio huitwa upungufu wa nguvu za kiume.

Kwa hiyo akisimamisha uume akatoa manii lakini zikashindwa kumpa mwanamke mimba anawekwa kundi gani?
 
Situations zote hizo mbili hakuna hata moja Iliyo sahihi...
Kwa kifupi mlikua mnabishana kwa kitu msichokijua na mkaibua mjadala mpya kabisa...
Kwa kifupi tu, mwanaume mwenye uhanithi ni yule ambaye uume wake hauna uwezo wa kukakamaa pindi anapopata hamu au hisia la tendo la ngono...
Sasa uwezo wa kutosimamisha uume ndio huitwa upungufu wa nguvu za kiume.

ni kwel mkuu inaonekana mdau hajui maana ya nguvu za kiume! angetoa kwanza definition ndo aulize! labda angeuliza kati ya anayefika kilele cha kwanaza na uume kunywea na yule anayeweza kutungua bao mbili tatu uume umesimama ni nani ana nguvu za kiume? pia nguvu za kiume waweza ziongelea katika uwezo wa kutungisha mimba yani zile manii!
 
Back
Top Bottom