Recent content by dionis66

  1. dionis66

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Nisaidie, kama tense sina naweza tumia nini?
  2. dionis66

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Wote mmejitahidi, ila parachichi, karoti na asali. Hiyo kiboko.
  3. dionis66

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Daaah!! Kama hili litafanikiwa Kwa kula anayeomba, basi hali ya walimu hao itaimalika
  4. dionis66

    JamiiForums Tanzania Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10

    Jichunguze kwanza mwenyewe kama ni msafi kabla ya kumsema mwenzako!!!
  5. dionis66

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    Mungu atakusaidia tu na utatoka si muda mrefu ili mradi unajua jema na baya
  6. dionis66

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili linalonisumbua

    Achana naye we mwanaume
  7. dionis66

    JamiiForums Tanzania Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Siku ya kurudi tz Lisu, airport patakuwaje jamani?
  8. dionis66

    JamiiForums Tanzania Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikteta wa Serikali Magufuli, yalaaniwa na yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Uhuru, mzalendo, Sunday news na daily news vipi?
  9. dionis66

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefikia kwa Mchumba wangu, ila rafiki yake ananitaka, nifanyeje?

    Achana naye
  10. dionis66

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibiti mnashindwa kupambana hadi mnasubiri Polisi?

    Mungu awape nguvu hali hii ipotee kabisa, wana kibiti na mkuranga waweze kuishi kwa amani.
  11. dionis66

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

    Wote wanaoongea mabaya , hawajafika Mbeya, Jambo moja tu kwa watu wa Mbeya in hawataki kuonewa au kudharauliw. Wanataka haki itendeke. Hi si kosa.
  12. dionis66

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Magufuli juu ya mimba za wanafunzi linapingana na sheria zilizopo

    Hongera Kwa maelezo yakp
  13. dionis66

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Jambo jema , tuwaunge mkono hasa mtambo kujengwa tz.
Back
Top Bottom