Recent content by Dinya

  1. D

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Alipoteuliwa Asad, mlichonga sana. Sasa anafanya kazi mnachonga tena, kwenu jem ani lipi?
  2. D

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    This wicked generation can laugh even at its own peril. It was "The Father" who engineered all this. Now we are harvesting the bitter fruits.
  3. D

    NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Sawa, huwezi kuweka majina basi hata kutoa takwimu za wangapi waliomba na kufanyiw ausaili huwezi? Ninyi watu mnanongwa kweli. Pale NECTA kuna nini kama si udini? Tangu 1973 NECTA ilipoundwa, ulishawahi kusikia Mwenyekiti au Katibu Mtendaji Muislamu? Mona husemi kun audini? Basi mkiona kuna...
  4. D

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Harooo Ntamahoro! Eti "These people are narrow minded", Kweli, are they or are you? You clever people, educated, civilized but drankards, fornicators, corrupt people. The country is under your leadership bro, you clever people. You know sometimes I remember the story of a psychitrist who wanted...
  5. D

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    MMh! ama kweli ukishangaa ya Firauni utaona ya Ibilisi. Kumbe mnawa-mind waislamu kuwahesabu tu na si kuwapa haki zao mlizowadhulumu tangu 1884 na serikali za Kikoloni za Mfumo Kristo? Tulijua itaghata ndo maana tukasema hatushiriki. Eti mtu anafoka "Sasa hivi tulitakiwa tunaumiza kwa miaka 50...
  6. D

    Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Mie huwa sishangai Mgala akitunisha misuli kubishia mambo yenye ukweli. Marehemu Kighoma Malima aliondoa mfumo wa kutumia majina na kuweka namba. Huu ni ukweli usiopingika. Lakini kwa kuwa jamaa hawa wa mkono wa kushoto hawatumii mioyo kuona bali macho watapinga tu. Wasichotaka kuwaambia watu...
  7. D

    Waraka wa TAMSYA kwa vyombo vya habari

    Mmmh! Mie naendelea kushangaa wa-Tz tusivyoweza kuiona dhulma mchana kweupe eti tu kwa kuwa waliotendewa si wa dini yako. Kwa nini madhaalimu wasituhumiwe kuvunja katiba kwa kutumia dini zao kuwatendea watu wa dini nyingine? Au katiba wao haiwahusu? Ila muangalie yasijekuwa ya Nigeria, Lebanon...
  8. D

    Baraza la Kiislamu la Maadili lalaani kuzomewa Dk Magufuli

    Nimesitushwa na taarifa hii ya hilo "Baraza la Kiislamu la Maadili" kulaani kuzomewa Dk Magufuli. Nadhani huyo sheikh angejiuliza kwanza Dk Magufuli alisema nini mpaka watu wamzomee? Hivi anaona ni katika maadili kiongozi wa umma kama Dk Magufuli kuwaambia watu wanaopinga nauli hiyo mpya...
Back
Top Bottom