hawa jamaa mi huwa nawashangaa,wenzao walipoona wanataka mapadri na wachungaji walio chimba dini wakajenga shule za seminary ambazo na wao wanasoma. Hizi za serikali wakatuachia sie ma easy taker. Sasa wao wanataka kuleta misimamo mikali hata huku kwetu? Si wajenge shule za waislamu tu? Mbona ardhi kubwa tu nchi hii? Nakumbuka iyunga walipewa eneo wakajenga msikiti ila wakristo walikuwa wanatoka nje ya shule kwenda kusali, hakuna anayelalamika. Mwisho watadai mpaka shule za kata zijengwe misikiti na muda wa wao kuswali masomo yasimamishwe.
Ilboru hawaendi vilaza kule. Nadhani kwa uchache wao darasa linawatoshaIlboru kuna Kanisa. Na waisilam wamepewa darasa wanalituia kama msikiti.
in the name of allah, the all-compassionate, all - merciful
[font=&]tanzania muslim students and youth association[/font][font=&] ([/font][font=&]tamsya)[/font]
[font=&]head office[/font]
[font=&] p.o box 35491, [/font]
[font=&] dar es salaam[/font]
[font=&]tanzania east africa [/font] [font=&]website: [/font][font=&]www.tamsya.org[/font] [font=&]email: info@tamsya.org[/font] [font=&]phone: +255732994703[/font] [font=&]fax: +255732994703[/font] [font=&]mobile: +255715 944514[/font]
............................taarifa kwa vyombo vya habari
Lakini sikweli kwa kuwa zipo shule nyingi za serikali zilizo na nyumba za ibada makanisa tena makubwa sana. Mfano shule ya sekondari ndanda, shule ya sekondari umbwe, lyamungo sekondari, pugu sekondari dar es salam na karibu shule zote kubwa za serikali nchini.
..........................
Haya ni matunda ya MoU hayo. Bilioni 91 kila mwaka sio mchezo.
Hongera vijana,tupo nyuma yenu, kama uonevu wa mou hawajaridhika wanataka wazidi kututafuta washafika mwisho.
Karibu tufanye Ibada hapa kwa mama kamche!!!
![]()
Acheni upumbavu ninyi vilaza muslims!
Pale Mzumbe Secondary upo msikiti kwenye uwanja wa shule!Basi hawa ndugu kazi yao pale ni kukimbia vipindi darasani kukimbilia humo wakijua wakrristo waalim hawatawafuata!
Lakini sijawahi kusikiawakristo pale wakilalama eti kwann kanisa lisijengwe pale!
Halafu huu upumbavu kwamba nyinyi ibada ni maisha yenu yote ndio unaendekeza madai kama mahakama ya kadhi,rais toka zanzibar had mwaka 2010 mkafikia kudai TANZANIA igawanywe!
Nina wasiwasi na mtume wenu;bila shaka alikuwa kilaza balaa nanyi mnamuenzi!Loooo;au alikuwa jini?