Recent content by dinkush 1691

  1. D

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Sielewi kwanini mnambishia jamaa kuhusu kuweka cheti na transcript pamoja ni kitu easy tu kama maelezo yalivyosema... weka cheti, weka transcript. Well kuna nafasi moja tu ya kuweka cheti, jiongeze MERGE cheti na transcript weka kama pdf moja tulia. Cheti na transcript ni gari na matairi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Kwa nilipo kuna kampuni mbili kubwa nitaagiza kupitia wao..
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Business plan ya kuanzisha mradi wa kuku wa nyama (BROILER) 500

    Mpk Leo trh 25 may 2022 hajajibu bado.. 😂😂😂
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata driving licence mpya kwa haraka!

    Hivi hata ukiwa na mguu mmoja na unaweza kuendesha gari unaweza kupata leseni ya halali kabisa?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    natamani hata kulia mweh!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Usifungue thread hii utani huu siyo

    macho kama kete za pooltable
  8. D

    JamiiForums Tanzania Toa jambo unaloona ni fact

    unauliza mmea jamaika?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je, unakitambi na unataka kukiondoa?...fuata haya

    kakojoe jeshini
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mchawi utamjua tu

    nyau we
  11. D

    JamiiForums Tanzania Samahani nimetumiwa mesej home kuna ishu u

    noti dola au ya madafu? Nipe dola ya marekani, australia, canada au ya zimbabwe? Ya marekani mpya au za zamani? Mpya dola mia, hamsini au kumi? John: asante
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo wimbo wa diamond
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa angani kwenye ndege unaweza kupiga simu?

    aisee kwanza utakuwa unataka nini muda huo usiopumzika usave chaji yako?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa angani kwenye ndege unaweza kupiga simu?

    simu ikiwa kwenye flight mode inakuwa haina uwezo wa kupata network kwahiyo sio rahisi kupiga au kupokea ikiwa katika mtindo huo
Back
Top Bottom