COCKINGTON
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 222
- 59
hiyo yenye bold sidhani kama ni true otherwise wangekuwa wanachelewa kupona sana
Hiyo ni fact coz kabla hujaenda jando kuna sheria ambazo unapatiwa ukiwa kitaa sasa kutokuvaa chupi ukiwa huko ni moja wapo. Kama utakubaliana na mimi sawa?
Sasa iweje mtu aanze kuulizia chupi tena akiwa amefika huko kwa ngaliba wakati anajua huko hazivaliwi?
Nadhani utakuwa umenisoma na huu ndiyo ukweli