Recent content by DINHO

  1. DINHO

    Aliyekuwa Kocha wa Tabora Utd: Nimefukuzwa kwa kosa langu ni kuifunga Yanga

    Mbona Yanga alifungwa mzunguko kwanza?
  2. DINHO

    TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

    Huu ni Uongo, kwanza TRA haina MKURUGENZI MKUU
  3. DINHO

    TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

    GPA sio Kigezo kikubwa na cha Haki, kutokana watu kusoma Vyuo tofauti na Hata aina ya mitihani yake huwa tofauti.
  4. DINHO

    Orodha ya walioitwa kwenye Usaili wa mchujo TRA

    Wapigie TRA au nenda Pale Makau Makuu Posta, eleza watakubadilishia venue.
  5. DINHO

    UTABIRI: Simba SC 1 -3 Yanga SC Kariakoo Derby, Novemba 5, 2023

    Mkuu vipi matokeo yalikuwaje?
  6. DINHO

    Msaada wa hotel nzuri Dar es Salaam isiyozidi 50,000

    Umewahi kulala hotel yoyote Dar? Hiyo bei anapata hotel kibao, hata akisoge UBUNGO atakutana na hotel kibao za bei hiyo. GUEST na LODGE za DAR bei zake ziko buku 10 hadi 20, acheni kungopea watu, kama mnaishi kwa dada zenu msitake kuwaongopea watu.
  7. DINHO

    Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Yemen sio taifa DOGO, afu wana population ya mil 30+
  8. DINHO

    Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Israel hana uwezo, ni support kutoka US, UK, na UFARANSA yy mwenyewe hawezi hizo battle za waarabu ndio maana anasaidiwa kila kitu na US
  9. DINHO

    UTABIRI: Simba SC 1 -3 Yanga SC Kariakoo Derby, Novemba 5, 2023

    Imenichukua mwezi mmoja kufanya analysis juu ya hii game, nimeangalia game karibu 10 za kila timu na katika hizo karibu game 5 nilienda uwanjani kushuhudia tactics za timu zote mbili. Game ya 05/11 ni moja ya game ngumu kwa mwonekano wa nje, ila kwa namna nilivyoziangalia hizo timu zote, 75%...
  10. DINHO

    Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Hoja za kijinga kabisa hizi, wapalestina na Waisrael wanafanana sana tu, ni race moja. Kucheza mashindano ya Ulaya hata UTURUKI anashiriki mashindano ya Ulaya na hayupo Ulaya.
  11. DINHO

    Ukwasi unaopatikana kwenye Kampuni za kusafirisha mizigo

    Hizi hesabu sio halisi kabisa in terms of Profit, ndio kuna maokoto lkn sio kwa super profit kama hii aliyoitaja mleta uzi. Kwa namna yoyote ile Operation costs za hizi kampuni zinakuwa juu ingawa bado atapata faida.
  12. DINHO

    Kumbe ndio maana vita havitakwisha Mashariki ya Kati

    [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  13. DINHO

    Kumbe ndio maana vita havitakwisha Mashariki ya Kati

    Wewe ni MPUMBAVU. Kwahiyo Yesu unayemkumbatia wewe ni Mweusi mwenzako? Unahisi anakupenda au atakupenda hata akifufuka leo?
  14. DINHO

    Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Hiyo ndoa itaisha hapo hapo.
  15. DINHO

    Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Yaani akili yako inakuambia Mungu aliyekuumba wewe alishindwa namna ya kukuokoa akaamua ajibadili awe binadamu ili akuokoe? Yaani mungu alishindwa kubadilisha akili zako automatic ili uwe mwema? Mungu akaamua akae tumboni miezi 9, anye mavi kwenye chupi miaka 5 ili tu kukukomboa wewe? Una akili...
Back
Top Bottom