Recent content by ding'ano

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi huwachanja watu chale usiku?

    Kinga sasa?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya kazi za Mzee Majuto kupitiwa upya

    Drama. Hivi huyu waziri si alitaka hukumu ya yule kijana alielipa faini kwa kwa kosa la mtandao hukumu iangaliwe upya. Alifanikiwa? Wanakwepa tu wajibu wao. Wizara yenyewe bajeti ndogo sana.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Azam media group movie mnazorusha kwa lugha ya kiswahili ni mbaya mno

    We mshamba tu unadhani wote tunapenda korea movies. Angalia TBC.
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM inaenda kupitisha bajeti hewa mapato ya 16/17 ni tril 22 tunapitisha tril 34 zinatoka wapi? sekta binafsi inakufa

    Duh we mweupe kweli. Jibu hoja taifa lina hasara
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo hali si shwari tena

    Hivi uwanja wa ndege si ndio mahitaji yenu wanachato? Tumieni uwanja kuulia wadudu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Balozi Jack Zoka kurejea, awaaga Canada; Magufuli kuamua mrithi wake nchi ya ‘Bombardier”

    Vipi changamoto za madaktari na afya alizimaliza?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Tanesco nyooooo shenzi kabisa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Jamani updates vipi? Jana umeme ulikata.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Numbisa jamani vipi?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sheria Ni Msumeno, Askari Magereza 11 Wafikishwa Makamani Kwa Mauaji Ya Raia

    Nyoko zao bora wakakae huko jela
  11. D

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Viwander vya awamu hii ndo hivyo made in kolomije. Ushamba. Pumbavu mtoa mada. Fanya kazi, sio kutumwa tumwa tu nakutafuta vyeo.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Jeneral wa Jeshi Congo ajiuzuli

    Kwani vyombo vya habari ni hivyo tu. Wao watakusanya watatatoa hata kesho kwa upana zaidi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Ukitaka kupima kiwango cha ujinga wa jamii yako na ubora wa elimu kwa watu ktk jamii yako basi angalia mwitikio ktk habari za uzushi na ujinga kama hizi. Huku mbagala ni balaa watu wanahaha kutafuta unga wa muhogo. Karne hii bado tunaamini ktk abracadabra
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi wawindaji, Mbwa hata akiwa mkali kiasi gani kwa Chatu anakwenda mwenyewe!!

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  15. D

    JamiiForums Tanzania CCM watafuta diwani "msaliti" aliyewapa kura UKAWA

    Nakuunga mkono [emoji12]
Back
Top Bottom