Jeneral wa Jeshi Congo ajiuzuli

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Jeneral John Tshibangu ameasi/amejiuzulu jeshi na kumpa Rais Joseph Kabila siku 45 awe ameachia madaraka na kuomba wananchi msamaha kwa kushindwa kuwaongoza

Hata hivyo bado haijafamika Jenerali John alikua ameshika nyadhifa gani kwenye jeshi la Congo

Je ni mapinduzi ya kisayansi yanaendelea

Jpili kanisani katoliki kimeitisha maandamano makubwa ya kupinga utawala wa Rais Joseph Kabila

Unganisha hayo matukio waweza ona utawala wa Kabila uko ukingoni

0a7d10d742779fd56cf4daba5b396e25.jpg
 
Kabila ametuangusha sana vijana tulijua ataibadili Congo kumbe nae kama mazee yanayokomalia madaraka na kuua watu hovyo...kama watu hawakutaki hata ukitumia silaha siku moja utaondoka tu kwa aibu.
 
Hii habari inaonekana Millard Ayo tu sidhani kama ni ya kweli? Mapinduzi gani rais anapewa siku 45 hapo si unampa muda wa kujipanga kubakia!! Hii habari siyo ya kweli
 
Upuuzi upuuzi. Dalili zipo tangu mapema na kwa sasa baadhi ya nchi zinageuka mali ya mtu/kikundi cha watu wachache kwa upuuzi upuuzi kama huu. Afrika hovyo kweli, uroho wa madaraka imegeuka fashion sasa. Huu upepo utavuma na kufika hata sehemu ambazo hatukuwahi kuzifikiria. Just wait
 
Back
Top Bottom