Usifananishe kuendelea Kwa nchi za ulaya nyingi zilichukua muda mrefu sababu technology alikuwa haijawa hivi ilivyo sasa Nguzo moja kusimamisha ilikuwa unachukuwa mwenzi saizi kusimamisha hiyo Nguzo ni masaa
Hakuna ufake katika dini kishughuilishe hicho kichwa chako kujua dini hayo maisha unayoishi ni dini tupu kiasili soma historia ndio utajua dini ni nini na we upo wapo katika dini sahihi yaani ni sawa na mtu anaenfa choni kujisaidia halafu unasema choose ni fake
Acha kujipa hope dini ni fake nenda kasome historia ndio utajua kama ni fake au sio fake hayo maisha unayoyaishi ni dini tosha sasa tafuta vitabu vya din usome utajua mapungufu yako katika kufikia dini kamili na kweli
Acha propaganda Kwa issue ambazo zipo real hii dini imetafsir vizuri nature ya kila kumbe na kuwa group eti imewabaguwa unaujua ubaguzi vizuri wewe waulize black amerka na wafrika kusini huone ubaguzi upoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.