Kutokupigana Vita kwa Ajili ya Uhuru Kumetufanya Watanzania tuwe Mazezeta??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokupigana Vita kwa Ajili ya Uhuru Kumetufanya Watanzania tuwe Mazezeta???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Dec 21, 2007.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2007
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Wana JF!! nimekuwa kila siku najiuliza tatizo kubwa la Watanzania ni nini lakini bado sipati jibu. Je, inawezekana kwa vile tulipata uhuru wetu kwenye silver plate ndiyo maana watu hawajali au hawana uchungu na nchi yao. Ukilinganisha na nchi nyingi zilizopigana vita kupata uhuru wao, mambo mengi na usanii unaotokea Bongo hauwezi kutokea huko. Just look at Kenya (maumau) halafu uendelee na nchi nyingine luluki. Hata wenzetu wa ZNZ wameamka sana na wako serious na nchi yao ila sisi Bara ndiyo tunawangusha.

  Hivi sasa mambo yavyoendelea naona yanakwenda kinyumenyume tu! Baada ya miaka 45 ya Uhuru serikali ya CCM ndiyo kwanza bado inajenga msingi. Sasa hilo paa litaezekwa lini??? Au hizo ndito za TZ kuwa kama Thailand zitakuwa kweli lini?? Naomba kutoa hoja!!
   
Loading...