Recent content by DIGITzee

  1. D

    JamiiForums Tanzania Azam Media mmekosa washauri? Punguzeni bei za vifurushi kunusuru bidhaa yenu

    Nimewachoka hawa Azam na silipii hicho kingamuzi chao tena!!! Wangeongezea channels za movie na documentaries kufidia zile local channels walizofungiwa lakini wao wanatujazia machannel za kiganda.
  2. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

    Pumzika kwa amani Mzee majuto
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hostel Bagamoyo

    Asante mkuu, tuwasliane kesho
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hostel Bagamoyo

    Wakuu, naomba msaada wa hostel nzuri -Bagamoyo ya kuwalaza watoto 30 wa shule ya msingi kwa siku mbili, wakiwa field trip Bagamoyo. Asanteni
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nina 10M nahitaji kufuga Samaki naombeni ushauri

    Mkuu umeelezea vizuri sana, naomba unisave na hizo contacts za SUMA tafadhali.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nina 10M nahitaji kufuga Samaki naombeni ushauri

    Safi sana. Mi bado niko pilot phase katika ufugaji wa kambale. Uhalisia wa mambo mengine ni tofauti kabisa na mambo niliyopata kwa watalaam au kusoma kwenye vitabu. Nimejikuta pia nikifanya makosa madogo madogo katika vitu vya msingi kama iana ya chakula, water quality,..... ambayo unahitaji...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nina 10M nahitaji kufuga Samaki naombeni ushauri

    Ni vizuri kutembelea hao SUMA JKT na wakulima wengine na kufanya research na kubaini yafuatao: Uwepo wa soko la uhakika wa aina ya samaki utakaofuga (kwa maeneo ya Dar- sato au kambale. Salmon wanafanya vizuri maeneo ya baridi) Aina ya mabwawa (ya kuchimba au ya kujengea) Upatikanaji wa mbegu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania SUMATRA fuatilieni utapeli huu AZAM MARINE

    Pole sana mkuu, kumbe Azam marine nao wana haka kamchezo?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ofisa alipwa mara 10 mshahara wa JPM

    Ni mshahara wa around USD 500,000 kwa mwaka ambao unaendana na kiwango ambacho top managers wa multinationals hulipwa.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Ali Kiba

    Huenda sijakuelewa vizuri ila katika kutanguliza matatizo yanayomkumba Diamond kwenye thread ya mafanikio ya Kiba kumetoa taswira kana kwamba Diamond anampisha Kiba, na ndo nikasema mafanikio yao sio 'mutually exclusive'.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Ali Kiba

    Sio lazima Diamond ashuke ili Kiba apande. Ingependeza zaidi kama tungewatakia mafanikio wote wawili kwenye kazi zao.
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Hichi ni kichekesho
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Mbona haina stendi?? Abiria watapandia na kushukia wapi?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rahisisha maisha, tumia njia hizi zitakuondolea usumbufu

    Hao mbu watanikoma
  15. D

    JamiiForums Tanzania Aibu: Kamati yasema Korosho zenye kokoto, zilitoka Tanzania tena Liwale

    Kuna uwezekano wa kupata hio kokoto na kuifanyia uchunguzi ili kuelewa ni kokoto ya wapi...... Dar, Mtwara....
Back
Top Bottom