Recent content by Diego Santana

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto sio baraka, ni wajibu wa maisha yako yote

    Kwani kuzaa ni lazima kama kula??
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika msioe, ndoa imeangamiza ndoto na ndoa ni Janga

    Kwani nisingezaliwa ningekuwa nimepungukiwa nini??
  3. D

    JamiiForums Tanzania Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

    Labda ya wazazi wako.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

    Hiyo ingekuwa ndio sababu basi ndoa zote zingevunjwa kwa sababu hiyo hiyo moja. Alafu mhusika hajasema sababu ya yeye kuachana na mzazi mwenzie. Why are you making up stories??
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: Burundi wataka kuichukua Kigoma kutoka Tanzania

    Umeona pesa anazochezea mtoto wa DGIS?? Halafu unataka vijana wawe patriotic na nchi yao??
  6. D

    JamiiForums Tanzania Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Tanzania hakuna patriotism mkuu. Those guys are just making a fool out of you. Watu wanajaza accounts zao za banks na watoto wao kisha wanawadanganya vijana kuwa patriotic.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mna-save vipi pesa?

    It's okay if you can afford
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

    Kupendana inatosha.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kizazi Bora Zaidi Kuzaliwa: 1988–1997

    Genetic engineering
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kizazi Bora Zaidi Kuzaliwa: 1988–1997

    Pamoja sana
  11. D

    JamiiForums Tanzania Makundi yanayo hatarisha sehemu zao Siri kuchakaa

    Mbona wanatafuta vita na mimi hao. Niingilie kati??
  12. D

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mambo?? Uko poa??
  13. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Safi sana mkuu. All Politicians are fighting for their stomachs. Wajinga wengi hawalijui hili. Hakuna mtu aliwahi kujiunga JWTZ au Police kwa kuipenda Tanzania, watu walifuata salary slip Mzee baba.
Back
Top Bottom