Recent content by dictson

  1. dictson

    Kwenye Vita ya India na Pakistan nimejifunza wingi sio hoja

    Unaweza kua na silaha nyingi, lakini kama hauna mbinu(akili) ya kuzitumia, ni kazi bure
  2. dictson

    Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

    Ukitaka kufeli maisha oa mapema. Naungana na wewe. Mwanaume anapofikiria kutengeneza familia yake, mwanamke anaona anaingia kwenye fulsa.
  3. dictson

    Wake zetu Shida ni nini?

    Wanaopitia matatizo ni watu ambao walijitolea kuwasitiri hawa wanawake.
  4. dictson

    KERO TANROADS fanyieni ukarabati Musoma Road imechoka sana hasa kipande cha Mwanza mpaka Nyashimo

    Issue ya barabara Mwanza ni kipengele sana. Hili jiji linajengwa majengo tu lakini barababara kuu zipo hoi
  5. dictson

    Dhambi za kufanya ziko nyingi ila hii ya kutelekeza mtoto achana nayo!

    Mbwa ataleaje mtoto wako. Bora ukae nae hukohuko
  6. dictson

    Kwa nini mti maarufu soko la Nyasho ukatwe ili kujenga soko? Kwa nini isiwe sehemu ya kuenzi historia? Wachora ramani mnafeli wapi kujumuisha nature?

    Mti wa round about ya ccm mwanza si ulisha ondolewa ule na sasa walijenga kwa siment mfano wa mti ulokatwa.
  7. dictson

    JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

    Ni nature ya jinsia Me, iwe kwetu binadamu au wanyama. Hata akipewa mwanamke wa ndoto zake, baada ya muda atatoka tu nje.
  8. dictson

    JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

    Haya mambo yana kua kwa kasi sana nje na ndani ya ndoa. Wengi wanafanya na ni siri kubwa sana kwao hasa kwa wanandoa. Naona kwenye hii mada wote wanao comment wanajifanya hawapendi kabisa huo mchezo 😂😂 ila huko sirini kwenu mnajua mnchokifanya. Cha msingi amkazie tu jamaa, asihofu ndoa...
  9. dictson

    Susana, mwanamke aliyetaka kuondoka na uhai wa Ronaldo De Lima

    Ujasusi wa kiuchumi huo 😂😂, inawezekana alipandikizwa dada muda mrefu kuja kuharibu finali
  10. dictson

    Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

    Huu uzi sijausoma, ila naungana na Chalamila. Mimba nyingi haziji bahati mbaya. Na hata zikija bahati mbaya, kitendo cha kuiacha ikue inamaana ni sahihi unahitaji mtoto. Sasa kwa miezi yote tisa unasubiri kujifungua, huwezi ukaikusanya hiyo 50,000 wewe na mumeo??
  11. dictson

    WATAALAM WA HESABU,HII INAWEZEKANA VP?

    Magazijuto yalikupita pembe kabisa
  12. dictson

    Hii ni kwa wanaompenda na kumcha Mungu tu

    Walokole wa kibongo ni kama akili wamezitupa.. Ukiishi nao ndo utaelewa
  13. dictson

    Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

    Nikitaka kuoa lazma nikutumie picha uthibitishe kama hujapita nae..
Back
Top Bottom